Na Mahmoud Zubeiry, LIBREVILLE
TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imegawana pointi na mabingwa watetezi, Mali katika mchezo wa kwanza wa Kundi B Fainali za Mataifa ya Afrika jioni ya leo Uwanja wa l’Amitie Sino mjini Libreville, Gabon.
Ulikuwa mchezo kama mkali kama ilivyotarajiwa na Mali ndiyo walioutawala zaidi nap engine kutokana na wapinzani wao kucheza kwa tahadhari ya kujihami zaidi.
Mali walimiliki mpira kwa muda mrefu na kupanga vyema mashambulizi yao, lakini safu ya ulinzi ya Tanzania ilicheza vizuri na kuokoa hatari nyingi ukiacha chache ambazo mabingwa hao watetezi walipoteza wenyewe.
Assad Ally akiwa amebaki na kipa wa Mali, Alkalifa Koulibaly lakini akashindwa kufunga
Wachezaji wa Mali na Tanzania wakiwania mpira wa juu
Yohana Oscar Nkomola wa Serengeti Boys akimiliki mpira mbele ya beki wa Mali
Sifa zaidi zimuendee kipa wa Tanzania, Ramadhani Kabwili aliyeokoa michomo mingi ya hatari ya washambuliaji mafundi wa Gabon.
Kwa kutumia mfumo wa kushambulia kwa kushitukiza, Serengeti Boys nayo ililikaribia mara kadhaa lango la Mali, lakini wakashindwa kutumia nafasi.
Na zaidi Serengeti Boys ilipata nafasi za kufunga kipindi cha pili, huku nafasi nzuri zaidi akiipoteza Assad Ally ambaye akiwa amebaki na kipa wa Mali, Alkalifa Koulibaly kwenye akapiga ovyo mpira ukapotea.
Mchezo wa pili wa Kundi B unafuatia jioni hii kati ya Niger na Angola baada ya mechi za Kundi A kuchezwa jana Uwanja wa Port Gentil jana wenyeji Gabon wakifungwa mabao 5-1 na Guinea huku Ghana wakianza vizuri kwa ushindi wa 4-0 dhidi ya Cameroon.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2pPpwZR
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SERENGETI BOYS YAANZA KWA SARE NA MABINGWA WATETEZI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/05/serengeti-boys-yaanza-kwa-sare-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.