Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
SIMBA SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu y Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya African Lyon jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ushindi huo uliotokana na mabao ya Ibrahim Hajib na beki wa Lyon, Hamad waziri aliyejifunga, unawafanya Wekundu wa Msimbazi wafikishe pointi 62 baada ya kucheza mechi 28 wakiwarudisha nafasi ya pili, mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 59 za mechi 26.
Katika mchezo wa leo uliochezeshwa na refa Ludovic Charles wa Tabora aliyesaidiwa na Robert Luhemeja wa Mwanza na Vincent Mlabu wa Morogoro, hadi mapumziko timu hizo zilikuwa zimefungana bao 1-1.
Mshambuliaji Ibrahim Hajib alitangulia kuifungia Simba kwa shuti la mbali lililombabatiza beki wa Lyon, Hassan Isihaka na kutinga nyavuni dakika ya 37 baada ya kupokea pasi ya kiungo Muzamil Yassin.
Hata hivyo, bao hilo lilidumu kwa dakika nane tu, kabla ya kiungo wa Lyon, Omar Abdallah kuisawazishia timu yake kwa shuti la mbali pia lililowapita mabeki wa SImba na kipa wao, Mghana, Daniel Agyei.
Kipindi cha pili Simba wakakianza vizuri tena na kufanikiwa kupata bao la pili dakika ya 54 kufuatia bekki wake, Hamad Waziri kujifunga wakati akijaribu kuokoa mpira wa kichwa wa mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo.
Baada ya bao hilo, Simba walianza kucheza kwa kujihami zaidi kuulinda ushindi wao, huku Lyon wakipambana kutafuta bao la kusawazisha bila mafanikio.
Kikosi cha Simba kilikuwa; Daniel Agyei, Janvier Bokungu, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, James Kotei, Juuko Murshid, Jonas Mkude, Shiza Kichuya/Mwinyi Kazimoto dk62, Muzamil Yassin, Laudit Mavugo, Ibrahim Hajib na Mohammed ‘Mo’ Ibrahim/Juma Luizio dk65.
African Lyon; Youth Rostand, Miraj Adam, Omar Salum, Hamadi Waziri, Hassan Isihaka, Baraka Jaffar, Rehani Kibingu/Abdallah Mguhi dk63, Peter Mwalyanzi, Thomas Maurice, Venence Ludovic/Awadh Juma dk75 na Omar Abdallah.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2qFT2pa
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA YAREJEA ANGA ZA UBINGWA…YAILAMBA LYON 2-1. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/05/simba-yarejea-anga-za-ubingwayailamba.html. Terimakasih atas perhatiannya.