TEHRAN, Iran
TIMU ya taifa ya Iran imekuwa ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi baada ya kuifunga Uzbekistan 2-0 usiku wa jana na kuwapa furaha mashabiki wake kumwagika mitaani kushangilia.
Hii ni mara ya kwanza Iran inafuzu mfululizo kwenye fainali za Kombe la Dunia na kwa ujumla watashiriki fainali za michuano hiyo kwa mara ya tano.
Sardar Azmoun alifunga bao la kwanza dakika ya 23 na Mehdi Taremi akafunga la pili dakika ya 88 Uwanja wa Azadi mjini Tehran.
Wachezaji wa Iran wakifurahia kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi baada ya kuifunga Uzbekistan 2-0 usiku wa jana
Iran inayofundishwa na kocha wa zamani wa Real Madrid na Ureno, Carlos Queiroz tangu mwaka 2011, imeongoza Kundi A kwa Asian kufuzu Kombe la Dunia.
Timu hiyo imecheza mechi nane bila kupoteza hata moja na inaizidi kwa pointi nane, Uzbekistan iliyo katika nafasi ya tatu nyuma ya Korea Kusini iliyo nafasi ya pili.
Iran haijaruhusu nyavu zake kuguswa kwenye mechi za kufuzu hadi sasa, jambo ambalo linawajengea hali ya kujiamini mashabiki wake.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2swjgeQ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang IRAN YA PILI KUFUZU KOMBE LA DUNIA BAADA YA BRAZIL. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/06/iran-ya-pili-kufuzu-kombe-la-dunia.html. Terimakasih atas perhatiannya.