Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Said Mussa akimtoka kwa chenga ya hatari beki wa Tusker ya Kenya hadi kiatu kikamvuka katika mchezo wa SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90
Kiungo huyo aliyekuwamo kwenye kikosi cha timu ya vijana ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kilichoshiriki michuano ya Afrika mwezi uliopita nchini Gabon alimtesa mno beki huyu wa Harambee Stars, timu ya taifa ya Kenya
Ikafika wakati ikabidi ajaribu kumshika ili kumtuliza
Lakini bado kijana alijinasua na kuendeleza safari yake
Hapa kijana anajaribu kujinasua baada ya kushikwa jezi
Mtu mzima wa Kenya ikabidi acheze hadi rafu kujaribu kumpokonya mpira kinda wa Jangwani
Lakini dogo miguu yake kama ina sumaku inayonasa mpira
Aliinuka na akachukua mpira wake na kuanza kuondoka nao
Jitihada za Mkenya kujaribu kumzuia kijana huyo hazikufanikiwa
Alijaribu kumvuta tena jezi, lakini hakufanikiwa kijana akaambaa na mpira na kuacha mashabiki wakimpigia makofi mengi jukwaani
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2qShLDK
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms