KOCHA Gareth Southgate Ijumaa aliwapeleka wachezaji wa timu ya taifa ya England katika kambi ya Jeshi la wana maji kwa maandalizi ya mchezo ujao wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Scotland.
Kocha huyo wa England aliwaondoa wachezaji wake St George's Park baada ya kuripoti kambini Ijumaa.
Wachezaji wa England walipokonywa simu zao ili kuelekeza akili zao kwenye mazoezi hayo.
Vijana wa Southgate walipewa mapumziko Jumatatu kabla ya kurejea St George's Park Jumanne. England itamenyana na Scotland mjini Glasgow Jumamosi, kabla ya kusafiri kwenda Ufaransa kwa mchezo wa kirafiki Jumanne ijayo.
"Tulitaka kuja na kuwaweka vijana katika mazingira tofauti, kitu ambacho hawakukitarajia," alisema Southgate.
Winga wa England na Manchester City, Raheem Sterling akipewa mazoezi kwenye maji na wanajeshi Ijumaa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2rMDuA9
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms