Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
YANGA imemtambulisha mchezaji wa kwanza kabisa kumsajili kuelekea msimu ujao, ambaye ni beki Abdallah Hajji Shaibu ‘Ninja’ kutoka Jang’ombe Boys ya Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniphace Mkwasa amesema beki huyo aliyeng’ara na kikosi cha Jang’ombe Boys kwenye michuano ya SportPesa Super Cup amesaini mkataba wa miaka miwili.
Mkwasa amesema klabu imejiridhidha juu ya ubora wa beki huyo baada ya kupewa taarifa za awali za mchezaji huyo katika soka ya Zanzibar.
Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh (kulia) akimkabidhi jezi Abdallah Hajji Shaibu baada ya kusaini mkataba
Katibu wa Yanga, Charles Boniphace Mkwasa akimshuhudia Abdallaj Hajii Shaibu wakati anasaini
Mkwasa amesema Yanga inaendelea na zoezi la usajili kwa umakini wa hali ya juu, ili kuhakikisha hairudii makosa ya kusajili wachezaji wasio na bidii wanageuka kuwa mzigo baadaye.
Kwa ujumla Mkwasa amesema kwamba wanasajili kulingana na mapendekezo ya benchi la Ufundi, chini ya kocha wao mkuu, Mzambia George Lwandamina.
Kihistoria Zanzibar imekuwa na rekodi ya kutoa mabeki bora ambao wanakuja kuwika kwenye timu za Bara, mfano Kassim Issa aliyewika Mtibwa Sugar miaka ya 2000, Aggrey Morris anayeng’ara Azam FC, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ambaye ni Nahodha wa sasa wa Yanga anayecheza na Mzanzibari mwingine katika timu hiyo, Mwinyi Hajji Mngwali.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2rvasS4
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms