KLABU ya Leicester City imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Mnigeria Kelechi Iheanacho kutoka Manchester City kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 25 akisaini mkataba wa miaka mitano.
City imepewa nafasi ya kumnunua tena kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 50 mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ambaye anaweza kuichezea Foxes kwa mara ya kwanza leo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Borussia Monchengladbach.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Nigeria ambaye atavaa jezi namba 8 amesema: "Najisikia vizuri na nina furaha kuwa sehemu ya timu hii. Nafahamu malengo ya timu na katika mazungumzo na kocha amenijulisha nini ninatakiwa kufanya kuisaidia timu kupata inacokitaka. Nimeshawishika na ninafuraha kuwa hapa," amesema.
Leicester City imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Mnigeria, Kelechi Iheanacho kutoka Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kocha wa Leicester, Craig Shakespeare amemtaka Iheanacho, aliyefunga mabao 12 katika mechi 46 za Ligi Kuu ya England akiwa na Man City kuongeza bidii ili kuisaidia timu yake mpya, naye pia awe mmoja wa washambuliaji hatari duniani.
Iheanacho alijiunga akademi ya Manchester City kama mchezaji wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 Januari 10 mwaka 2014 kabla ya kupandishwa kikosi cha kwanza mwaka 2015.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2u6eEtx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KELECHI IHEANACHO ASAINI MIAKA MITANO LEICESTER CITY. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/08/kelechi-iheanacho-asaini-miaka-mitano.html. Terimakasih atas perhatiannya.