Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Maji Maji ya Songea ‘imekunjua nafsi’ na kumridhia mchezaji wake, Iddi Kipagwile kuhamia Azam FC ya Dar es Salaam kwa kuondoa pingamizi ililoweka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Maji Maji ilimuwekea pingamizi mchezaji huyo asiidhinishwe kuichezea Azam FC, ikidai ilikuwa bado ina mkataba naye – lakini sasa inaondoa pingamizi hilo kufungua milango ya maisha mapya kwa Kipagwile.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo ofisi za klabu ya Azam FC, barabara ya Nyerere, Dar es Salaam, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi Maganga amesema kwamba baada ya mazungumzo na uongozi wa Maji Maji mwafaka umepatikana.
“Tulikuwa tuna kikao cha pamoja na baina yetu uongozi wa Azam FC na uongozi wa Maji Maji na baada ya maongezi tumefikia maafikiano kwamba Iddy Kipagwile sasa ni mchezaji halali wa Azam CM,”amesema.
Maganga amesema baada ya mwafaka huo, klabu inaelekeza nguvu zake katika maandalizi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza wiki ijayo.
Na katika sehemu ya maandalizi hayo, Maganga amesema kesho watacheza mchezo wa kirafiki na kikosi cha pili cha timu yao, Azam Academy Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam.
Baada ya mchezo huo, timu itasafiri Jumatano kwenda Mtwara kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Ndanda FC Uwanja wa Nangwanda Sijaona Agosti 26, mwaka huu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2xjanUK
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms