Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM
KLABU ya Singida United imeingia mkataba wa udhamini na kampuni ya uzalishaji wa mbolea, YARA wa zaidi ya Sh. Milioni 250 kwa mwaka mmoja.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye Hafla iliyofanyika ukumbi wa Kivukoni, uliopo ndani ya hoteli ya Serena mjini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa klabu hiyo, Sanga Festo amesema kwamba udhamini huo mpya habari njema za kiuchumi kwa klabu yao.
“Tuna furaha kutangaza kuingia mkataba wa udhamini na YARA kwa mwaka mmoja, haya ni manufaa makubwa sana katika klabu yetu na hadi sasa tuna hekari 10 kwa ajili ya kilimo cha zao la alizeti chini ya usimamizi wa kampuni ya YARA, itakayosimamia suala zima la kilimo,”amesema Sanga.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa YARA, Alexandre Macedo amesema kwamba wamefurahi kuwa sehemu ya Singida United na watayaboresha mahusiano hayo katika sekta ya kilimo.
Singida United imepanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwaka huu tangu iteremke mwaka 2002, lakini imekuja na ngekewa ya kuoata udhamini mnono kutoka kampuni za SportPesa, Puma, Oryx na sasa YARA.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2faRi33
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms