IMETHIBITISHWA Manny Pacquiao atakuwa na pambano la marudiano na Jeff Horn mjini Brisbane, Australia baadaye mwaka huu.
Tajiri wa Brisbane, Meya Graham Quirk awali alishutumiwa kutoa taarifa bila uthibitisho kutoka kambi ya Pacquiao, lakini sasa amesema kwamba amehakikishiwa hilo katika kikao cha Jumatatu na promota wake.
"Nilikuwa na kikao mapema leo (jana) ambacho kimrthibitisha kwamba Manny Pacquiao atakuja mjini Brisbane mwaka huu kwa pambano la marudiano na Jeff Horn," amesema Quirk.
Manny Pacquiao amethibitisha kurudiana na Jeff Horn mjini Brisbane baadaye mwaka huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pambano linatarajiwa kufanyika Novemba pale pale Uwanja wa Suncorp ambako watu 50,000 walimshuhudia mwalimu wa zamani wa shule, Horn akimshinda kwa pointi Pacquiao kwenye pambano la raundi 12 kuwania taji la WBO uzito wa Welter.
Pacquiao alikataa matokeo hayo akidai mpinzani wake alipendelewa, lakini baadaye likaundwa jopo la wataalamu kupitia upya pambano hilo ili kujua mshindi halali, lakini ikathibitika bondia wa Ufilipino alipoteza pambano kihalali.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2x81aiU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PACQUIAO KURUDIANA NA JEFF HORN AUSTRALIA NOVEMBA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/08/pacquiao-kurudiana-na-jeff-horn.html. Terimakasih atas perhatiannya.