KIUNGO mkongwe, Wesley Sneijder ameungana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Inter Milan, Mario Balotelli baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na Nice ya Ufaransa kama mchezaji huru.
Mwanasoka huyo wa zamani wa kimataifa wa Uholanzi, mwenye umri wa miaka 33 sasa, ameondoka Galatasaray majira haya baada ya misimu minne ya kufanya kazi Uturuki.
Nice imesema jana kwamba; "Tumefikia makubaliano Jumapili hii baina yetu OGC Nice na Wesley Sneijder!'
Na leo mchana wametangaza kwamba mchezaji huyo amesaini mkataba, ambao unaweza kufutwa iwapo hatafuzu vipimo vya afya.
Wesley Sneijder ameungana na Mario Balotelli baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na Nice ya Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kiungo huyo mshambuliaji amesaini mkataba wa mwaka mmoja na timu ya Lucian Favre, ambayo ilifungwa 1-0 na Saint-Etienne katika mechi ya ufunguzi ya Ligi ya Ufaransa msimu huu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2uhDEy9
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SNEIJDER ATUA NICE KUMPIKIA MABAO BALOTELLI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/08/sneijder-atua-nice-kumpikia-mabao.html. Terimakasih atas perhatiannya.