KLABU ya Real Madrid imekubali kusaini mkataba mpya na Karim Benzema aendelee kufanya kazi Uwanja wa Bernabeu hadi mwaka 2021.
Benzema, ambaye amewafungia mabao zaidi ya 170 mabingwa hao wa Hispania tangu ajiunge nao mwaka 2009 kutoka Lyon ya kwao, Ufaransa, atasaini mkataba mpya ambao imeripotiwa atakuwa analipwa Euro Milioni 7.5 kwa mwaka
Kwa mujibu wa taarifa nchini Hispania, mkataba wa mshambuliaji huyo una kipengele cha kuuzwa kwa Euro Bilioni 1 timu ikimhitaji.
Karim Benzema atasaini mkataba mpya Real Madrid utakaomuweka Santiago Bernabeu hadi mwaka 2021 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2019, lakini Benzema atafuata nyayo za Isco na Dani Carvajal kujifunga kuendelea kuichezea timu hiyo.
Katika taarifa ya klabu iliyotolewa leo, Real Madrid imesema Mfaransa huyo atasaini mkataba huo mbele ya vyombo vya Habari Alhamsi mchana.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, ambaye ameshinda mataji 14 katika kipindi chote cha kuwa Real, sasa atabaki na Los Blancos hadi atakjapotimiza miaka 33.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2wH3ifY
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms