• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ▼  September (518)
      • PSG 6-2 BORDEAUX
      • MAN UNITED 4-0 CRYSTAL PALACE
      • CHELSEA 0-1 MAN CITY
      • YANGA WALIOTOKA SARE YA 3-3 NA RAJA CASABLANCA DAR
      • KAMA ANCELOTTI AMEFUKUZWA BAYERN MUNICH, LWANDAMIN...
      • YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UHURU
      • AZAM FC SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA DODOMA
      • SAMATTA MAMBO MAGUMU GENK, WAMETOA SARE NYINGINE T...
      • SAMATTA MAMBO MAGUGUMU GENK, WAMETOA SARE NYINGINE...
      • SAMATTA MAMBO MAGUGUMU GENK, WAMETOA SARE NYINGINE...
      • NEYMAR AFUNGA MAWILI, CAVANI, MBAPPE MOJA MOJA PSG...
      • MAN CITY YAIDONDOSHA CHELSEA DARAJANI, 1-0 MAMBO Y...
      • KANE AFUNGA MABAO MAWILI SPURS IKISHINDA 4-0 UGENINI
      • FELLAINI APIGA MBILI MAN UNITED YASHINDA 4-0 ENGLAND
      • AZAM FC YAWACHOMOLEA SINGIDA UNITED DAKIKA ZA MWIS...
      • YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBW...
      • Vaal Saturday 30 September 2017 Best Bets
      • AZAM FC KATIKA MAZOEZI YA MWISHO LEO KABLA YA KUIV...
      • YANGA NA MTIBWA SUGAR SHUGHULI PEVU UHURU KESHO
      • Durbanville Saturday 30 September 2017 Best Bets
      • MBARAKA: KILA MECHI NI KAMA FAINALI AZAM
      • Sergio Aguero Injured in Car Crash
      • Currie Cup 2017: Sharks v Lions Preview
      • Rugby Championship: Argentina v New Zealand Preview
      • SAMATTA: USHINDANI UMEONGEZEKA LIGI YA UBELGIJI
      • AGUERO AVUNJIKA MBAVU KWENYE AJALI YA GARI UHOLANZI
      • Greyville Friday 29 September 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 29 September 2017 Best Bets
      • ROONEY AFUNGA LAKINI EVERTON 'YAKABWA KOO' NYUMBAN...
      • YANGA NAYO KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI TABORA
      • CECAFA CHALLENGE YARUDI, KUFANYIKA KENYA 2017
      • MECHI YA SUPERSPORT NA CLUB AFRICAIN YASOGEZWA MBELE
      • BATE BORISOV 2-4 ARSENAL
      • CARLO ANCELOTTI AFUKUZWA BAYERN MUNICH BAADA YA 3-...
      • WALCOTT AFUNGA MAWILI, ARSENAL YASHINDA 4-2 UGENIN...
      • POULSEN AMUHAKIKISHIA NAFASI MAKAMBA NGORONGORO HE...
      • EPL: Week Seven Preview
      • Carlo Ancelotti Sacked
      • REFA WA MAJI NA MAJI APEWA ONYO KWA KUTOKUWA MAKIN...
      • NIGERIA KUWASILI DAR USIKU WA LEO KUIVAA TANZANIA ...
      • TASWA YALAANI KITENDO CHA CHIRWA KUMPIGA MWANDISHI
      • F1 2017: Malaysian Grand Prix Preview
      • Italian Serie A: Week Seven Preview
      • Opinion: Phehlukwayo before Parnell, please
      • PSG, Chelsea, and Man United Star in UEFA Champion...
      • French Ligue 1: Week Eight Preview
      • Rugby Championship: South Africa vs Australia
      • Scottish Premier League: Week Eight Preview
      • BARCELONA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA URENO, YAILAZA ...
      • LUKAKU AFUNGA MARA MBILI MAN UNITED YASHINDA 4-1 U...
      • CAVANI, NEYMAR WOTE WAFUNGA PSG YAIPIGA 3-0 BAYERN...
      • BATSHUAYI AIFUNGIA LA USHINDI CHELSEA DAKIKA YA MW...
      • MSUVA KUJIUNGA NA TAIFA STARS JUMATATU KWA MECHI N...
      • ARSENAL WALIVYOIFUATA BATE BORISOV LEO KWA EUROPA ...
      • German Bundesliga: Week Seven Preview
      • European Tour: British Masters
      • Stiff opening home assignment for Hollywoodbets Do...
      • Presidents Cup Preview
      • Turffontein Thursday 28 September 2017 Best Bets
      • SA NFD: Week Six Preview
      • Spanish La Liga: Week Seven Preview
      • Dutch Eredivisie: Week Seven Preview
      • EPL: Chelsea vs Manchester City Preview
      • PSL: Week Seven Preview
      • South Africa vs Bangladesh: First Test Preview
      • AZAM FC YAANZISHA LIGI YA VIJANA U-15, KUANZA OKTO...
      • Durbanville Wednesday 27 September 2017 Best Bets
      • BEN YEDDER APIGA HAT TRICK SEVILLA YAIFUMUA MARIBO...
      • RONALDO AFUNGA MAWILI, BALE MOJA REAL YAIZIMA BORU...
      • MAN CITY YASHINDA 2-0 NYUMBANI DHIDI YA SHAKHTAR
      • KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YASHINDA 3-0 UGENINI
      • COUTINHO AINUSURU LIVERPOOL KUGONGWA NA SPARTAK MO...
      • YANGA SC MAZOEZINI LEO UWANJA UHURU KUJIANDAA NA M...
      • Our First El Clasico Winner: Josea Mphuthi
      • UEFA Champions League: Matchday Two Preview
      • KIM POULSEN AVUTIWA NA VIPAJI VYA VIJANA TANZANIA
      • UEFA Champions League: PSG v Bayern Munich Preview
      • Pakistan vs Sri Lanka: First Test Preview
      • KICHUYA AANZA MAZOEZI CHINI YA UANGALIZI WA DAKTAR...
      • India vs Australia: Fourth ODI Preview
      • LWANDAMINA AFURAHIA KUREJEA KWA AMISSI TAMBWE
      • REAL BETIS 4-0 LEVANTE
      • ARSENAL 2-0 WEST BROM
      • YAKUBU APANIA KUFANYA MAKUBWA ZAIDI BAADA YA KUSHI...
      • GARETH BARRY AVUNJA REKODI YA GIGGS LIGI KUU ENGLAND
      • LACAZETTE AANGUKIA KWENYE VIPIMO BAADA YA KUFUNGA ...
      • MRUNDI KUMRITHI PHIRI MBEYA CITY, APEWA MKATABA WA...
      • MAN UNITED WALIVYOONDOKA KUWAFUATA CSKA URUSI
      • LACAZETTE APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YASHINDA 2-0 E...
      • SIMBA SC: HAONDOKI OMOG, WALA YEYOTE KATIKA BENCHI...
      • Hollywoodbets KZN Inland win Africa T20 Cup final ...
      • KESI YA MANJI YA DAWA ZA KULEVYA YAANZA KUUNGURUMA...
      • RONALDO NDANI REAL MADRID SAFARINI UJERUMANI KUWAF...
      • Turffontein Monday 25 September 2017 Best Bets
      • MARCOS LLORENTE AJITIA KITANZI REAL MADRID HADI 2021
      • TP MAZEMBE YAENDA NUSU FAINALI KWA KISHINDO
      • OZIL NA SANCHEZ WOTE FITI ARSENAL IKIIKARIBISHA WE...
      • AZAM FC NA LIPULI KATIKA PICHA JANA UHURU
      • AZAM FC 1-0 LIPULI
      • AZAM FC YAIKAMATA MTIBWA SUGAR KILELENI LIGI KUU
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBWA SUGAR UHURU

YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBWA SUGAR UHURU

Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameendeleza mwendo wa kusuasua katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya jioni ya leo kulazimishwa sare ya 0-0 na Mtibwa Sugar ya Morogoro Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Sare hiyo inaifanya Yanga ifikishe pointi tisa baada ya kucheza mechi tano, ikishinda mbili na kutoa sare tatu, wakati Mtibwa inafikisha pointi 11 baada ya sare hiyo ya pili, ikiwa pia imeshinda mechi tatu.
Sifa zimuendee kipa wa zamani wa zamani wa Yanga, Benedicto Tinocco aliyesimama langoni mwa Mtibwa Sugar leo na kuikatalia kabisa timu yake ya zamani leo katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga, aliyesaidiwa na Robert Ruhemeja wa Mwanza na Abdallah Shaka wa Tabora.
Beki wa Mtibwa Sugar, Cassian Ponera (kulia) akimdhibiti mshambuliaji Mzimbabwe wa Yanga, Donald Ngoma leo Uwanja wa Uhuru
Mchezo ulianza kwa kasi huku timu zote zikishambuliana kwa zamu, ingawa Yanga ndiyo waliokuwa kulitia majaribu lango Mtibwa Sugar dakika ya tatu baada ya beki wake wa kushoto, Gardiel Michael kukimbia na mpira hadi kwenye boksi la timu ya Morogoro kabla ya kuangushwa, ingawa refa hakutoa penalti.
Mtibwa Sugar wakajibu dakika ya 12 baada ya kiungo wake, Hassan Dilunga kukaribia kufunga kama si beki wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ kuondosha mpira kwenye hatari.
Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma akaikosesha Yanga bao dakika ya 14 baada ya kushindwa kumalizia pasi nzuri ya Mzambia, Obrey Chirwa na dakika ya 15 kipa Benedict Tinocco alidaka shuti kali la mshambuliaji Ibrahim Hajib kutoka nje kidogo ya boksi.
Hajib akapiga shuti zuri la mpira wa adhabu dakika ya 27 kutoka umbali wa mita 20, lakini kwa mara nyingine Tinoco, kipa wa zamani wa Yanga akaokoa.
Mtibwa Sugar wakajibu dakika ya 31 baada ya mshambuliaji mwenye umbo kubwa, Stahmili Mbonde kukosa nao la wazi kufuatia krosi nzuri ya Salum Kihimbwa.
Kipindi cha pili, Yanga waliendelea kulitia misukosuko lango la Mtibwa Sugar na dakika ya 51, shuti la kiungo Pius Buswita lilikwenda nje kidogo baada ya kusogea na mpira kutoka eneo la katikati ya uwanja.
Kiungo Mohammed Issa ‘Banka’ wa Mtibwa Sugar alionyeshwa kadi ya njano dakika ya 63 baada ya kumchezea rafu beki wa Yanga, Gardiel Michael Mbaga na dakika ya 64 Ngoma tena akaikosesha timu yake bao baada ya kupiga kichwa lakini mpira ukadunda na kutoka nje.
Kipa Mcameroon wa Yanga, Youthe Rostand aliokoa mara mbili mfululizo mashuti ya mshambuliaji chipukizi wa Mtibwa Sugar, Kelvin Kongwe Sabato dakika ya 65 kwanza akitema na mpira kumrudia mchezaji huyo aliyepiga tena na mlinda mlango huyo akawahi kuinuka na kuokoa tena.
Gardiel Michael alionyeshwa kadi ya njano dakika ya 69 baada ya kushika mpira akidhani umetoka.
Winga Geoffrey Mwashiuya alitia krosi nzuri langoni mwa Mtibwa Sugar dakika ya 74 na kumkuta Hajib aliyeunganisha nyavuni, Tinocco akaokoa ukamkuta Ngoma aliyepiga tena, lakini kipa wa Mtibwa akaokoa tena na mpira kumkuta Pius Buswita aliyepiga tena mpira ukaenda nje.
Dakika ya 89 kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' alionyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu kiungo wa Mtibwa Sugar, Mohammed Issa.
Kikosi cha Yanga SC kilikuwa: Youthe Rostand, Juma Abdul, Gardiel Michael, Andrew Vincent, Kelvin Yondan, Said Juma ‘Makapu’, Pius Buswita, Raphael Daudi/Geoffrey Mwashiuya dk71, Donald Ngoma/Juma Mahadhi dk77, Obrey Chirwa/Thabani Kamusoko dk56 na Ibrahim Hajib.
Mtibwa Sugar: Benedict Tinocco, Salum Kupela, Issa Rashid, Dickson Daud, Cassin Ponera, Shaaban Nditi, Salum Kihimbwa/Henry Joseph dk82, Mohammed Issa, Stahmili Mbonde/Ismail Aidan dk89, Hassan Dilunga/Kevin Sabato dk49 na Ally Makarani.


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2xJzRvO best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBWA SUGAR UHURU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/09/yanga-yaendelea-kusuasuayatoa-sare-0-0.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.16
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: YANGA YAENDELEA KUSUASUA...YATOA SARE 0-0 NA MTIBWA SUGAR UHURU