Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea kesho kwa Yanga SC kuikaribisha Mtibwa Sugar Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
Yanga ambayo tayari imekusanya pointi nane inachuana na kinara huyo wa Ligi Kuu ya Vodacom tangu ianze, Mtibwa Sugar ya Morogoro ambayo hadi sasa imekusanya pointi 10. Timu zote zimecheza mechi nne hadi sasa.
Mbali ya mchezo huo utakaochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, mechi nyingine za kesho zitakuwa ni kati ya Ndanda itakayokuwa mwenyeji wa Lipuli FC kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara. Ndanda ina pointi nne ilihali Lipuli ina pointi tano.
Maji Maji ambayo ina pointi mbili baada ya mechi nne, inaikaribisha Kagera Sugar inayoshika mkia katika msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kupata pointi moja baada ya mechi nne. Mchezo utafanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Azam FC ambayo inafungana pointi na Mtibwa Sugar kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kesho itakuwa mgeni wa Singida United kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Singida United ina pointi tisa baada ya mechi nne.
Mbeya City imesafiri moja kwa moja hadi Shinyanga ambako kesho inacheza na Mwadui kwenye Uwanja wa Mwadui. Mbeya City imekusanya pointi sita hadi sasa baada ya mechi nne ilihali wenyeji wao Mwadui hadi sasa wana pointi tatu.
Ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Mbao FC itaikaribisha Tanzania Prisons ya Mbeya kwenye mchezo mwingine wa VPL. Rekodi zinaonesha kwamba Mbao FC hadi sasa ina pointi nne wakati Tanzania Prisons ina pointi nane.
Kule Uwanja wa Mabatini uliko Mlandizi mkoani Pwani, Ruvu Shooting FC itachuana na Njombe Mji katika mchezo mwingine wa VPL. Ikumbukwe tu kwamba hadi sasa baada ya mechi nne, timu hizo - Ruvu Shooting na Njombe Mji zote zimekusanya pointi tatu.
Kama ilivyodokezwa kwenye aya ya pili hapo juu, keshokutwa Jumapili kutakuwa na mchezo mmoja tu wa VPL ambako Simba itakuwa mgeni wa Stand United ya Shinyanga katika mchezo utakaofanyika Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2hDXCRV
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA NA MTIBWA SUGAR SHUGHULI PEVU UHURU KESHO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/09/yanga-na-mtibwa-sugar-shughuli-pevu.html. Terimakasih atas perhatiannya.