Na Adam Hando, TABORA
CHAMA cha soka Tabora (TAREFA) kipo kwenye mazungumzo na mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,Yanga ili waende mkoani humo kucheza mchezo wa kirafiki na timu mojawapo ya klabu za huko.
Katibu Mkuu wa TAREFA, Mhandisi Athumani Kilundumya amesema hayo zikiwa zimepita siku tano baada ya Simba kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya ‘Wana Zuke Mselebende’, Milambo FC ya Tabora pia.
“Tumekuwa na mazungumzo na klabu ya Yanga na bado tunaendelea kuzungumza nao, ndani ya mwezi ujao tutakuwa tumepata majibu sahihi, alisema Kilundumya.
Simba ilicheza mchezo wa kirafiki na Milambo na kutoka sare ya 0-0 ikiwa ni mara ya pili ndani ya miezi mitano, kwani katika Pasaka ya mwaka huu, Wekundu hao wa Msimbazi walifika Tabora pia kucheza Rhino Rangers na kushinda 2-0, huku mashabiki wa Yanga wakihoji kwa nini na timu yao haifiki Tabora.
“Msimu uliopita tulizungumza na Yanga, lakini hawakuweza kufika hapa kwani wakati ule ligi ilikuwa imekwishamalizika, ila kwa sasa wakitoka kwenye mechi zao za kanda ya ziwa kuna uwezekano wakapita mkoani hapa,”alisema Kilundumya.
Tabora haina timu katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara tangu mwaka 2013 baada ya Rhino kushuka daraja katika msimu ule ule iliopanda jambo ambalo linawanyima wakazi wa mkoa huu burudani ya soka.
Uongozi mpya wa TAREFA ulioingia madarakani mwishoni mwa mwaka jana, uliahidi kushirikiana na klabu zao ili kuhakikisha zinapanda tena daraja kwa Rhino kwenda Ligi Kuu na Milambo na Msange kwenda Ligi Daraja la Kwanza.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2ybRR5c
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA NAYO KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI TABORA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/09/yanga-nayo-kucheza-mechi-ya-kirafiki.html. Terimakasih atas perhatiannya.