Olivier Giroud akipongezwa baada ya kuifungia Arsenal bao la tano dakika ya 64 kwa penalti katika ushindi wa 6-0 dhidi ya BATE Borisov kwenye mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates. Mabao mengine yalifungwa na Mathieu Debuchy dakika ya 11, Theo Walcott dakika ya 37, Jack Wilshere dakika ya 43, Dzyanis Palyakow aliyejifunga dakika ya 51 na Mohamed Elneny dakika ya 74. Arsenal inamaliza kileleni mwa kundi kwa pointi zake 10, ikifuatiwa na Crvena Zvezda pointi sita sawa na FC Cologne ya Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2AZtlVT
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ARSENA YAFANYA BALAA EUROPA LEAGUE, YASHINDA 6-0. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/12/arsena-yafanya-balaa-europa-league.html. Terimakasih atas perhatiannya.