Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Pamba FC ya Mwanza imejitolea kusafirisha Waandishi wa Habari kwenda Musoma mkoani Mara katika mchezo wao wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Biashara FC Jumamosi.
Ofisa Habari wa Pamba FC, Johnson James amesema katika taarifa yake leo kwamba wanawaomba Waandishi wa Habari za michezo walioko Mwanza ambao wangependa kuhudhuria mchezo huo wajiorodheshe kwenye ofisi zake zilizopo barabara ya Posta Jijini Mwanza kwa ajili ya safari hiyo.
“Lengo la kuwaomba wanahabari kujiorodhesha kwa ajili ya kufika Musoma kuushuhudia mchezo huo ni kutokana na mchezo wenyewe kuwa mgumu na unaovuta hisia za watu, hivyo tunawaomba wanahabari za michezo ambao mnahitaji kwenda mjiorodheshe,”.
Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura (kulia) ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa FAM
James amesema lengo ni ili ikitokea sheria 17 na taratibu za mchezo huo zikakiukwa waweze kuripoti bila upendeleo aidha kwa Pamba au Biashara FC.
James amesema kwamba pamoja na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura ndiye Mwenyekiti pia wa Chama cha Soka Mara (FAM) pia, lakini ni muumini wa sheria za soka hivyo hatarajii haki kutotendeka katika mchezo huo, ili mshindi apatikane kwa uhalali ndani ya dakika 90 za mchezo huo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2l2Sm9s
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms