• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ▼  Desember (477)
      • WENGER AVUNJA REKODI YA FERGUSON LIGI KUU ENGLAND
      • AZAM FC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI, YAICHAPA ...
      • ASHLEY YOUNG AFUNGIWA MECHI TATU MANCHESTER UNITED
      • ARSENAL YAPOKONYWA USHINDI DAKIKA YA MWISHO KWA TUTA
      • AZAM FC 2-0 MWENGE
      • MBAO FC 2-0 YANGA
      • NJOMBE MJI FC 1-3 SINGIDA UNITED
      • REKODI YA GUARDIOLA KUSHINDA MFULULIZO ENGLAND YAZ...
      • YANGA ‘ROJO ROJO’ KWA MBAO…YAPIGWA 2-0 KIRUMBA HAD...
      • TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA LIMONGA
      • AZAM FC WALIVYOWASILI ZANZIBAR KUANZA KUTETEA MAPI...
      • MSUVA AREJEA NYUMBANI KWA MAPUMZIKO BAADA YA KAZI ...
      • AZAM FC WAANZA KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI LEO
      • Durbanville Monday 1 January 2018 Best Bets
      • New Zealand v West Indies - Second T20 Preview
      • What are you doing at 20:29? Coming in January 2018!
      • ATHUMANI MAMBOSASA ENZI ZAKE ALIKUWA KIPA HODARI N...
      • 2017 ULIKUWA MWAKA WA TAMU NA CHUNGU KATIKA SOKA YETU
      • LUKAKU AFUNGWA MASHINE YA KUPUMULIA BAADA YA KUUMIA
      • Greyville Sunday 31 December 2017 Best Bets
      • MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE TENA, 0-0 NA SOUTHAMPTON
      • NSAJIGWA: JEURI YA MBAO TUTAIMALIZA KESHO KIRUMBA
      • CHELSEA YAFUNGULIA MBWA ENGLAND, YAICHAPA 5-0 STOK...
      • SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIBAMZIA LEICESTER ...
      • NDANDA FC 0-2 SIMBA SC
      • SIMBA RAHA TUPU, YAIPIGA NDANDA 2-0 NA KURUDI KILE...
      • What are you doing at 20:29?
      • AZAM FC 3-0 STAND UNITED
      • ARTHUR AFUNGA ‘BAO TAMU’ AZAM FC YAUA 3-0 NA KUPAA...
      • Turffontein Saturday 30 December 2017 Best Bets
      • Pro 14: Ulster v Munster Preview
      • French Top 14: Clermont v Castres Preview
      • SIMBA YAMTEMA KWASI SAFARI YA MTWARA, AAMBIWA ATAA...
      • Cape Town City Scoop Top Defender
      • YANGA WALIVYOIFUATA MBAO FC KWA NDEGE LEO
      • Chippa United Bolster Their Squad
      • SANCHEZ AFUNGA MAWILI ARSENAL YASHINDA 3-2 UGENINI
      • NYOTA WALIOWIKA SIMBA WANAOMALIZIA SOKA YAO RANGERS
      • MSUVAAAA….AFUNGA BAO PEKEE DIFAA WABEBA POINTI TAT...
      • WALIOSAJILIWA DIRISHA DOGO HATIHATI KUCHEZA LIGI K...
      • RATIBA MPYA MAPINDUZI, SIMBA KUFUNGUA DIMBA NA MWE...
      • Greyville Friday 29 December 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 29 December 2017 Best Bets
      • Pro14: Leinster v Connacht Preview
      • Mbappe to Face Childhood Idol
      • Bidvest Wits Sign Key PSL Player
      • Your Lucky Stars - Week 52
      • Aviva Premiership: Gloucester v Sale Preview
      • Aviva Premiership: Bath v Wasps Preview
      • Aviva Premiership: Harlequins v Northampton Preview
      • New Zealand v West Indies: First T20 Preview
      • MILAN DERBY; CURTONE AWACHINJA INTER DAKIKA ZA NYO...
      • STERLING AFUNGA MAN CITY YASHINDA MECHI YA 18 MFUL...
      • LIVERPOOL YAMSAJILI VAN DIJIK KWA DAU LA REKODI YA...
      • MKUTANO WA RAIS WA TFF NA WAHARIRI LEO SEASCAPE
      • SIMBA SC KUIFUATA NDANDA ‘JOGOO LA KWANZA’ TU KESHO
      • NEEMA ZAIDI ZANZIBAR HEROES, WAPEWA MAMILIONI MCHA...
      • Opinion: On AB as captain and Steyn's absence
      • Vaal Thursday 28 December 2017 Best Bets
      • Italian Serie A: Week 19 Preview
      • French Top 14: Stade Francais v Bordeaux Begles Pr...
      • French Top 14: Toulouse v Toulon Preview
      • WEAH ATANGAZWA RASMI KUWA RAIS MPYA LIBERIA
      • RAIS KARIA AFUTA MASHINDANO YA NG’OMBE NA MBUZI ZA...
      • PAMBA WABEBA WAANDISHI WA HABARI MECHI NA BIASHARA...
      • Harry Kane Pips Shearer, Messi, and Ronaldo
      • Cape Town City Star Released
      • Moyes Perplexed by Controversial Goal
      • Harry Kane Suited for Spanish Giants - Shearer
      • English Premier League: Week 21 Preview
      • NGASSA ANAVYOFURAHIA MAISHA MTWARA NA NDANDA FC
      • YANGA SC KUIFUATA MBAO FC BILA CHIRWA
      • FIRMINO AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YASHINDA 5-0 ENGLAND
      • ZANZIBAR WATWAA UBINGWA WA KIMATAIFA SOKA LA UFUKW...
      • KANE APIGA HAT-TRICK TENA SPURS YAUA 5-2 ENGLAND
      • ALONSO NA MORATA WAFUNGA CHELSEA YASHINDA 2-0
      • MAN UNITED YAPONEA CHUPUCHUPU KUPIGWA NA BURNLEY N...
      • Kenilworth Wednesday 27 December 2017 Best Bets
      • SIMBA SC YAINGIA KAMBINI LEO KUJIANDAA NA NDANDA
      • HUYU PIUS BUSWITA NI BONGE LA MCHEZAJI, YAANI ZAID...
      • SABA ZA ‘MCHANGANI’ ZAFUZU 32 BORA KOMBE LA AZAM S...
      • YANGA NA REHA FC KATIKA PICHA JANA UHURU
      • YANGA 2-0 REHA FC
      • RAIS KARIA ALIVYOWASHUHUDIA YANGA WAKIPETA KOMBE L...
      • YANGA SC YASONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP,...
      • PAMBA SC WASAHAU KUREJEA LIGI KUU, WAAPA KUSALIA FDL
      • New Zealand v West Indies: Third ODI Preview
      • South Africa v Zimbabwe: One-Off Test Preview
      • India v Sri Lanka: Third T20 Preview
      • Dolphins lose last-gasp thriller to the Lions in P...
      • YANGA SC WAAANZA KAZI KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERAT...
      • MWAMEJA ALIKUWA ‘TZ ONE’ LAKINI KUNA WAKATI ALIKUW...
      • OMOG ANAWAACHIA SIMBA MATATIZO YAO NA MASUDI JUMA WAO
      • MAN UNITED YACHOMOLEWA DAKIKA YA MWISHO, SARE 2-2 ...
      • AZAM FC 4-0 AREA C UNITED
      • KANE AFIKISHA HAT TRCK SABA LIGI KUU ENGLAND SPURS...
      • AZAM FC YASONGA MBELE KWA KISHINDO MICHUANO YA ASFC
      • MESSI SASA NDIYE MFALME WA MABAO ULAYA NZIMA KIHIS...
      • AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAIBAMIZA 4-0 BOURNE...
      • OMOG ATUPIWA VIRAGO SIMBA SC
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » OMOG ANAWAACHIA SIMBA MATATIZO YAO NA MASUDI JUMA WAO

OMOG ANAWAACHIA SIMBA MATATIZO YAO NA MASUDI JUMA WAO

KOCHA Mcameroon, Joseph Marius Omog jana amehitimisha miezi yake 17 ya kufanya kazi Simba baada ya jana kuondolewa kufuatia timu kuvuliwa ubingwa wa michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) katika hatua ya 64 Bora kwa kufungwa kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 na Green Warriors juzi  Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Aliyekuwa kocha Msaidizi, Mrundi Masudi Juma sasa ataiongoza timu kuelekea mwishoni mwa msimu. Omog amefukuzwa siku mbili tu tangu arejee nchini kutoka kwao, Cameroon alipokwenda kwa mapumziko na kuelekea mchezo wa juzi, timu iliandaliwa na Msaidizi wake, Juma.
Lakini kumekuwa na tetesi za Omog kuondolewa kwa miezi miwili sasa na hata wakati Masudi Juma anawasili miezi miwili iliyopita ilielezwa anakuja kuwa Kocha Mkuu. 
Mcameroon huyo aliyeirejesha Simba kwenye michuano ya Afrika 2018 baada ya miaka mitatu kufuatia kuipa Kombe la ASFC Mei mwaka huu ikiifunga Mbao FC 2-1 kwenye fainali Dodoma, alijiunga na klabu hiyo Julai 1, mwaka 2016, baada ya awali kufundisha klabu ya Azam FC na kuipa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014.  
Omog anaondoka Simba SC baada ya mechi 79, akiipa taji moja la ASFC Mei mwaka huu na hajafungwa mechi hata moja dhidi ya mahasimu, Yanga. 
Katika mechi zake 79 tangu aanze kazi Msimbazi Julai mwaka jana, Omog ameshinda 53, kafungwa 10 na kutoa sare 16 na kati ya hizo amekutana na Yanga mara tano, mara tatu katika Ligi Kuu akishinda 2-1 Februari 26 mwaka jana (2016), sare mbili 1-1 zote Oktoba 1, 2016 na Oktoba 28, mwaka huu (2017).
Mechi nyingine zote alishinda kwa matuta; kwanza ya Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi penalti 4-2 baada ya sare ya 0-0 Januari 10, 2017 na nyingine ya Ngao ya Jamii kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 Agosti 23, mwaka huu.
Historia inajirudia kwa Omog kufukuzwa nchini, baada ya awali pia kufukuzwa Azam FC ambao nao aliwapa taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na bila shaka anapata somo lingine zuri kuhusu soka ya nchi hii.
Kwa Omog hata kuingia kwenye msimu wa pili Simba SC ni jambo ambalo halikutarajiwa, kwa sababu si kawaida kwa timu hiyo kuishi japo kwa msimu mzima na kocha mmoja katika miaka ya karibuni.
Imekuwa vigumu kwa viongozi wa Simba miaka ya karibuni kujua wanahitaji nini kwa walimu na hata wachezaji, maana mara kadhaa imeacha makocha na wachezaji bora na kuangukia kwa wasiofaa.
Haiyumkiniki lawama za Simba kutolewa katika mchezo wa juzi zimuangukie Omog – wakati hakuwepo nchini kwenye matayarisho ya mchezo wenyewe na alirejea siku mbili kabla ya mechi hiyo.
Lakini pia mastaajabu kama hayo hutokea katika soka, timu kubwa yenye wachezaji wakubwa na nyota kutolewa kwenye mashindano na timu ndogo ya wachezaji wa kawaida.
Ni Desemba 20 mwaka huu Manchester United ilipotolewa katika Robo Fainali ya Kombe la Ligi England na timu ya Daraja la Kwanza, Bristol City Uwanja wa Ashton Gate kwa kipgo cha 2-1. Huwezi kuifananisha Bristol na United kwa chochote kuanzia uwekezaji na hata uwezo wa wachezaji na benchi la Ufundi.
Lakini United wametupwa nje, wamefunga ukurasa na kusonga mbele kwenye michuano mingine, huku Simba wanamtoa kafara Omog.
Mchezo wa juzi achilia mbali Simba walicheza nyuma ya bahati yao, wachezaji wake nyota akina Shiza Kichuya, John Bocco, Muzamil Yassin, Said Ndemla, Jonas Mkude wakipoteza nafasi kadhaa za wazi – lakini pia kuna wachezaji wengine nyota kama Waghana, James Kotei, Nicholas Gyan, Mrundi Laudit Mavugo na Mganda Emmanuel Okwi hawakuwepo kabisa na sababu hazijulikani.
Omog ameendeleza rekodi yake nzuri ya kushinda mataji katika kila timu – lakini pia anaondoka Simba kwa heshima ya kutofungwa na watani wa jadi, Yanga kitu ambacho nadhani hakikuwapendeza viongozi wa Simba chini ya Kaimu Rais, Salim Abdallah ‘Try Again’ na sasa wanataka kujaribu matokeo tofauti.
Omog anaondoka na kumbukumbu zake nzuri tu kwenye soka ya Tanzania, kushinda mataji yote makubwa, Ligi Kuu na ASFC na pia kutamba katika mechi za watani – na anawaachia Simba matatizo yao na ni juu yao na Masudi Juma wao. 


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2zlJNuG best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang OMOG ANAWAACHIA SIMBA MATATIZO YAO NA MASUDI JUMA WAO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/12/omog-anawaachia-simba-matatizo-yao-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 19.34
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: OMOG ANAWAACHIA SIMBA MATATIZO YAO NA MASUDI JUMA WAO