Mohamed Salah akiteleza chini kushangilia huku akifuatwa na Alexander-Arnold baada ya kufunga mabao mawili dakika za tatu na ya kwanza ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika za 90 za kawaida katika sare ya 2-2 na Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao ya Spurs ambayo mara zote ilitoka nyuma yamefungwa na kiungo Mkenya, Victor Wanyama dakika ya 80 na Harry Kane kwa penalti dakika ya tano ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida kufuatia beki ghali, Virgin van Dijk kumchezea rafu Erik Lamela.
Awali, Kane alikosa penalti ya utata waliozawadiwa Spurs, baada ya kipa Karius kuokoa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2s6jiey
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms