• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ▼  April (393)
      • Scottsville Wednesday 2 May 2018 Best Bets
      • Turffontein Tuesday 1 May 2018 Best Bets
      • HANS POPPE AUNGANISHWA KESI YA AVEVA NA KABURU, MA...
      • YANGA SC KUIFUATA USM ALGER ALHAMISI, MECHI JUMAPI...
      • Polish Lotto Promotion - Terms & Conditions
      • FERGUSON AMPA WENGER ZAWADI YA KUONDOKEA ARSENAL
      • MESSI APIGA HAT TRICK BARCELONA YASHINDA 4-2 NA KU...
      • SIMBA SC 1-0 YANGA SC
      • FELLAINI AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED DAKIKA YA ...
      • REFA WA NIGERIA AFUNGIWA MWAKA KUWASHAWISHI MAREFA...
      • FIRMINO ASAINI MKATABA MPYA LIVERPOOL HADI MWAKA 2023
      • MAN CITY YAENDELEZA SHANGWE ZA UBINGWA ENGLAND
      • SERENGETI BOYS WATWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE ...
      • POLENI NA BUNDUKI YENU FEKI, HIYO NDIYO SIMBAA...
      • SIMBA SC YAIZIMA YANGA PUNGUFU 1-0…SHUJAA NI ERAST...
      • Flamingo Park Monday 30 April 2018 Best Bets
      • MAMBO YALIVYO UWANJA WA TAIFA PAMBANO LA WATANI
      • VIKOSI VINAVYOANZA HADI WA BENCHI SIMBA NA YANGA LEO
      • SIMBA SC WAWAFUNIKA YANGA NDANI NA NJE UWANJA WA T...
      • JUVE WAIPINDULIA MEZA INTER...2-1 BADO DAKIKA NNE ...
      • YANGA SC WAREJEA DAR KIMYA KIMYA, WAFIKIA HOTELI Y...
      • MADAKTARI WA WANAMICHEZO WAZUIWA KUFANYA UCHAGUZI ...
      • DU! CRYSTAL PALACE WAIMIMINIA LEICESTER CITY 5-0 S...
      • SALAH AKOSA BAO LA WAZI, REFA 'AWANYIMA' LIVERPOOL...
      • INIESTA AMWAGA MACHOZI AKIAGA RASMI BARCELONA
      • AZAM FC YAISHUSHA YANGA SC HADI NAFASI YA TATU, MA...
      • Scottsville Sunday 29 April 2018 Best Bets
      • Opinion: CSA right, ECB wrong, in bid to grow crowds
      • IPL: Sunday 29 April Preview
      • French Top 14: Montpellier v Pau Preview
      • NJOMBE MJI FC YAIPIGA NDANDA FC 2-0 NA KUJINASUA M...
      • Turffontein Saturday 28 April Best Bets
      • Kenilworth Saturday 28th April 2018 Best Bets
      • French Top 14: Toulon v Castres Preview
      • Pro 14: Connacht v Leinster Preview
      • F1 2018: Azerbaijan Grand Prix Preview
      • MAANDALIZI AFCON U17 MWAKA 2019 DAR; SERIKALI KUVI...
      • MKUU WA MKOA, PAUL MAKONDA MGENI RASMI SIMBA NA YA...
      • VIJANA WAWILI WA KITANZANIA KUPELEKWA URUSI KUENDE...
      • BUNGE LAAGIZA UCHUNGUZI HARUFU UFISADI MAPATO UWAN...
      • SIMBA YAWATISHA WATANI; “TUKO KAMILI NA HATUNA MAJ...
      • SIMBA SC YAWATANGULIA YANGA DAR, YAENDA KUJICHIMBI...
      • Greyville Friday 27th April 2018 Best Bets
      • Spar Facebook Promotion – Win a R500 Spar voucher
      • Fairview Friday 27 April 2018 Best Bets
      • IPL: Delhi Daredevils vs Kolkata Knight Riders Pre...
      • SIMBA SC WALIMWA ‘MAFAINI KIBAO’ KWA USHIRIKINA NA...
      • KUTINYU WA SINGIDA UNITED AFUNGIWA MECHI NA TATU N...
      • MZUNGU WA AZAM ASIMAMISHWA LIGI KUU KWA KUMTUSI REFA
      • HSBC World Sevens Series: Singapore Preview
      • Super Rugby 2018: Hurricanes v Sunwolves Preview
      • EPL: Week 36 Preview
      • Hollywood Stars – Doing Us Proud!
      • Vaal Thursday 26 April 2018 Best Bets
      • WTA Tour: Stuttgart Open Selected Matches Preview
      • REAL MADRID YAIPIGA BAYERN MUNICH 2-1 ALLIANZ ARENA
      • LACAZETTE, BELLERIN WAKUNJANA WAKITAKA KUZIPIGA MA...
      • Super Rugby: Stormers v Rebels Preview
      • PSL: Kaizer Chiefs vs Maritzburg United Preview
      • EPL: Manchester United vs Arsenal Preview
      • SERENGETI BOYS YATINGA FAINALI CECAFA U17 BURUNDI,...
      • German Bundesliga: Week 32 Preview
      • IPL: Sunrisers Hyderabad vs Kings XI Punjab Preview
      • Italian Serie A: Week 35 Preview
      • EFL Championship: Week 45 Preview
      • Spanish La Liga: Week 35 Preview
      • NFD: Week 29 Preview
      • Top 24 Liverpool vs AS Roma Memes and Reactions
      • PGA Tour: Zurich Classic of New Orleans Preview
      • European Tour: Volvo China Open Preview
      • SALAH AFUNGA MAWILI KIMYA KIMYA, LIVERPOOL YAIPIGA...
      • Kenilworth Best Bets - Wednesday 25 April 2018
      • Super Rugby 2018: Round 11 Preview
      • IPL: Royal Challengers Bangalore vs Chennai Super ...
      • Sundowns on the Brink of PSL Glory
      • Mignolet Set for Reds Exit
      • Pierre Schoeman Banned for Six Weeks
      • MAGETI KUFUNGULIWA MAPEMA MECHI YA SIMBA NA YANGA ...
      • NGORONGORO WAREJEA DAR KUJIPANGA KWA MECHI NA MALI...
      • Bryan Habana Announces Retirement
      • KOCHA MKONGO AWASILI KUCHUKUA NAFASI YA LWANDAMINA...
      • Vodacom Durban July 2018 - Ante-Post Betting
      • Irish Daily Millions - Lucky Numbers
      • Lucky Numbers Dream Guide
      • SIMBA SC MAZOEZINI MOROGORO LEO KUJIANDAA NA YANGA SC
      • SINGIDA UNITED YAIFUATA MTIBWA SUGAR FAINALI KOMBE...
      • Vaal Tuesday 24 April 2018 Best Bets
      • 5 Talking Points from the Sporting Weekend
      • Proteas Home International 2018/19 Season Fixtures...
      • TAMBWE AINGIA KAMBINI YANGA KUANZA KUIPASHIA SIMBA...
      • IPL: Mumbai Indians vs Sunrisers Hyderabad Preview
      • AHMAD AMPONGEZA SALAH KWA KUTAWA TUZO YA PFA
      • DZEKO ALIVYO TAYARI KUIBEBA ROMA MBELE YA LIVERPOO...
      • TFF YAZIPONGEZA NGORONGORO HEROES NA SERENGETI BOY...
      • Steve Komphela Resigns after Violent Catastrophe
      • PSL Statement on Moses Mabhida Mayhem
      • WTA Tour: Porsche Tennis Grand Prix - Stuttgart Op...
      • NI CHELSEA NA MAN UNITED FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND
      • Maritzburg Stun Sundowns for Nedbank Cup Final Place
      • ATP Tour: Barcelona Open Banc Sabadell Preview
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » BOCCO AING’ARISHA SIMBA SC, AFUNGA MABAO YOTE NJOMBE YAFA 2-0 SABA SABA

BOCCO AING’ARISHA SIMBA SC, AFUNGA MABAO YOTE NJOMBE YAFA 2-0 SABA SABA

Na Princess Asia, NJOMBE
SIMBA SC imejitanua kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Njombe Mji FC jioni ya leo Uwanja wa Saba Saba mjini Njombe.
Pongezi kwa mfungaji wa mabao hayo yote mawili leo, Nahodha John Raphael Bocco ‘Adebayor’, moja kila kipindi na sasa Wekundi wa Msimbazi wanafikisha pointi 49 baada ya kucheza mechi 21, wakiwazidi kwa pointi tatu mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 43 za mechi 21 pia.  
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa chipukizi Meschak Suda kutoka Songea, aliyesaidiwa na Mohamed Mkono wa Tanga, hadi mapumziko Simba SC walikuwa mbele kwa bao 1-0.
Bocco alifunga bao la kwanza kwa shuti la mguu wa kulia kufuatia kuudondosha chini kwa kichwa mpira mrefu wa adhabu uliopigwa na beki Yussuf Mlipili.
Bao hilo lilionekana kuwavuruga Njombe Mji FC na kujikuta wanawaruhusu Simba kutawala mchezo zaidi na kukaribia kufunga mara kadhaa.
Lakini dakika 45 za kipindi cha kwanza zilimalizika SImba wakiwa mbele kwa hilo moja tu na kipindi cha pili hakukuwa na mabadiliko yoyote kwa Njiombe Mji FC kimchezo, kwani Wekundu wa Msimbazi waliendelea kutawala mchezo.
Haikuwa ajabu Bocco tena alipowainua mashabiki wa Simba kushangilia bao la pili baada ya kufunga vizuri dakika ya 64 kwa guu la kulia kufuatia pasi ya beki wa kulia, Shomari Kapombe.
Kocha Mfaransa, Pierre Lechantre akawaingiza wachezaji wawili, majeruhi wa muda mrefu, beki Salim Mbonde na kiungo Mnyarwanda Haruna Niyonzima kumalizia mchezo. 
Kikosi cha Njombe FC kilikuwa; David Kissu, Christopher Kasewa, Steven Mwaijala/Agathon Mapunda dk80, Hussein Akilimali, Peter Mwangosi, Jimmy Mwasondola, Awadh Salum, Mustapha Bakari, Ettienne Ngladjoe/Rafael siame dk70, David Obashi na Ditram Nchimbi.
Simba SC; Aishi Manula, Nicholas Gyan, Asante Kwasi, Juuko Murshid, Yussuf Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei/Salim Mbonde dk60, Shomary Kapombe, Emmanuel Okwi/Laudit Mavugo dk52, John Bocco na Shiza Kichuya/Haruna Niyonzima dk81.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2GxulnF best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BOCCO AING’ARISHA SIMBA SC, AFUNGA MABAO YOTE NJOMBE YAFA 2-0 SABA SABA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/04/bocco-aingarisha-simba-sc-afunga-mabao.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.12
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

Copyright Viral Sports: BOCCO AING’ARISHA SIMBA SC, AFUNGA MABAO YOTE NJOMBE YAFA 2-0 SABA SABA