KLABU ya Bayern Munich imemthibitisha mchezaji wake wa zamani, Niko Kovac atakuwa kocha wa timu hiyo ya Allianz Arena kuanzia Julai 1.
Mabingwa hao wa Bundesliga wamekuwa wakitafuta mbadala wa kocha wao wa sasa, Jupp Heynckes, ambaye anataka kustaafu tena mwishoni mwa msimu tangu arejee kufanya kazi kwa mufda, Oktoba mwaka jana.
Bayern imethibitisha leo kwamba Kovac, ambaye kwa sasa anaifundisha timu nyingine ya Bundesliga, Frankfurt, amekubali kuwa kocha mpya wa timu hiyo kuanzia msimu ujao hadi mwaka 2021.
Niko Kovac atachukua nafasi ya Jupp Heynckes Bayern Muchi kuanzia Julai 1, mwaka huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 46 alidumu kwa misimu miwili Bavaria kuanzia mwaka 2001 hadi 2003 ambako alicheza mechi mechi 51 na kuisaidia Bayern kutwaa taji la Bundesliga na Kombe la Ujerumani.
Makocha kadhaa wametajwa kuchukua nafasi hiyo itakayoachwa wazi muda si mrefu, akiwemo kocha wa Borussia Dortmund, Thomas Tuchel na wa Paris Saint-Germain, Unai Emery.
Pamoja na hayo, imekuwa ikiripotiwa kwa mapana marefu nchini Ujerumani kwamba Kovac atachukua nafasi hiyo, habari ambazo zimethibitishwa leo kupitia ukurasa wa Twitter wa klabu hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2v7dAKE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NIKO KOVAC NDIYE KOCHA MPYA BAYERN MUNICH. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/04/niko-kovac-ndiye-kocha-mpya-bayern.html. Terimakasih atas perhatiannya.