Na Princess Asia, DAR ES SALAAM
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imejiweka vibaya katika kampeni ya kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AWC) kwa kutoka sare ya mabao 3-3 dhidi ya wenzao wa Zambia (Shepolopolo) katika mechi iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo, Twiga Stars inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote katika mechi ya marudiano itakayofanyika Lusaka Aprili 8 mwaka huu.
Mabao ya Twiga Stars katika mchezo huo yalifungwa na Stumai Abdallah na Asha Rashid 'Mwalala' ambaye alipachika mawili.
Kiungo wa Tanzania, Mwanahamisi Omar 'Gaucho' akiwatoka wachezaji wa Zambia
Wachezaji wa Twiga Stars wakisikiliza maelekezo ya makocha wao, Sebastian Nkoma na Edna Lema (kulia)
Wachezaji wa Twiga Stars wakishangilia bao la pili lililofungwa na Asha Rashid 'Mwalala'
Kwa upande wa Shepolopolo waliofunga ni Barbra Banda aliyefunga mawili na lingine likipachikwa na Misozu Zulu.
Hadi wanakwenda mapumziko, Twiga Stars inayofundishwa na Kocha Sebastian Mkoma na Edna Lema "Mourinho" ilikuwa mbele kwa mabao 2-1.
Shepolopolo ilifanya mashambulizi zaidi ukilinganisha na wenyeji lakini kipa wa Twiga Stars, Fatuma Omary, alijitahidi kudaka mashambulizi na kuisaidia timu yake katika mechi hiyo iliyochezeshwa na waamuzi kutoka Chad.
Baada ya mechi kumalizika, wachezaji wa Shepolopolo ambao walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya na kufungwa 3-0, walianza kucheza "ndombolo" ishara ambao wamefurahia matokeo hayo ya ugenini ambayo kwao ni mazuri.
Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake zinatarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu jijini Accra, Ghana wakati zile za dunia zitafanyika mwakani Paris, Ufaransa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2q3t1yI
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms