REFA Mark Geiger aliyechezesha mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia jana kati ya Morocco na Ureno amedaiwa kumuomba jezi Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo wakati mchezo ukiendelea.
Madai hayo yametolewa na kiungo wea Morocco, Nordin Amrabat anayechezea Watford ya England baada ya mchezo wsa jana timu yake ikichapwa 1-0 kwa bao pekee la Ronaldo.
Nyota wa Real Madrid, Ronaldo jana amefunga bao lake la nne katika mashindano haya baada ya mechi mbili, Ureno ikifikisha pointi nne sawa na Hispania na kuongoza pamoja Kundi B.
Mark Geiger amedaiwa kumuomba jezi Cristiano Ronaldo wakati wa mchezo dhidi ya Morocco jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
"Sifahamu alikuwaje, lakini alikuwa anavutiwa mno Cristiano Ronaldo, na nilimsikia Pepe anasema kwamba alimuomba jezi (Ronaldo) kipindi cha kwanza," alisema Amrabat ambaye alicheza jana licha ya kuumia kwenye mchezo wa kwanza.
"Tunazungumzia nini? Kwenye Kombe la Dunia? Si mahala pake hapa.’
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2MLZcN1
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang REFA AOMBA JEZI YA RONALDO AKICHEZESHA MECHI NA MOROCCO JANA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/06/refa-aomba-jezi-ya-ronaldo-akichezesha.html. Terimakasih atas perhatiannya.