Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limefungua rasmi dirisha la usajili kwa msimu wa 2018/2019 ambapo usajili wa awamu hii utakuwa ni usajili wa tofauti utakaotumia mfumo mpya ujulikanao kwa jina la TFF FIFA CONECT.
Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Kitengo cha Habari cha TFF, Clifford Ndimbo amesema kabla ya kuanza rasmi kutumika kwa mfumo huo, klabu zinazoshiriki Ligi Kuu, ligi daraja la kwanza na ligi daraja la pili zitapewa semina jinsi ya matumizi ya mfumo huo.
"Semina hii itakuwa ya siku tatu ambapo tutaanza na klabu za ligi kuu Jumatatu ijayo Juni 25, Jumanne tutakuwa na ligi daraja la kwanza na jumatano tutamalizia na Ligi daraja la pili.
Mkuu wa Kitengo cha Habari cha TFF, Clifford Ndimbo akizungumza na Waandishi wa Habari leo
"Tunaviomba klabu zote zizingatie muda wa kuja kupewa mafunzo haya ili isije kuleta shida baadaye," amesema Ndimbo
Aidha, amesema baada ya kumalizika kwa usajili huo kutakuwa na wiki moja ya mapingamizi na klabu mbalimbali vitawasilisha mapingamizi katika kamati maalumu itakayosimamia suala la usajili.
Dirisha la usajili msimu wa 2018/2019 lilifunguliwa Juni 15, na litafungwa Julai 26, mwaka huu ambapo Kamati ya Maadili na Hadhi za Wachezaji itakuwa na wiki moja ya kupitia mapingamizi yatakayowasilishwa na klabu husika kama yatakuwepo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Kag12p
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms