KIUNGO wa ulinzi wa Uruguay, Lucas Torreira amethibitisha kuwa njiani kwenda kufanya vipimo vya afya tayari kujiunga na Arsenal.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 ameng'ara kwenye Fainali za Kombe la Dunia akiwa na Uruguay iliyofika Robo Fainali na kutolewa na Ufaransa Ijumaa.
Na klabu yake ya sasa, Sampdoria imekubali ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 25 kutoka Arsenal katika mazungumzo yaliyofanyika wakati akiwa Urusi kwenye Kombe la Dunia.
Lucas Torreira amethibitisha kuwa njiani kwenda kufanya vipimo vya afya tayari kujiunga na Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Torreira anaelekea kuwa mchezaji wa nne mpya kusajiliwa Arsenal chini ya kocha mpya, Unai Emery aliyejiunga na timu Juni kuchukua nafasi ya kocha wa muda mrefu, Mfaransa, Arsene Wenger.
Kocha huyo wa zamani wa PSG na Sevilla tayari amewanasa kipa Bernd Leno, beki Stephan Lichtsteiner na Soktratis Papasthathopoulous.
Kwa misimu mitatu iliyopita Torreira amekuwa akichezea kikosi cha kwanza cha Sampdoria baada ya kuibukia akademi ya timu, Pescara.
Mechi ya kwanza ya Emery Arsenal itakuwa ya kujiandaa na msimu mpya dhidi ya Atletico Madrid, Julai 26.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2KIwZsL
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KIUNGO WA URUGUAY ATHIBITISHA KWENDA KUFANYA VIPIMO ARSENAL. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/07/kiungo-wa-uruguay-athibitisha-kwenda.html. Terimakasih atas perhatiannya.