Na Somoe Ng'itu, KIGALI
MABINGWA watetezi wa mashindano ya soka ya Kombe la Challenge kwa wanawake timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars jana walipata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Uganda katika mechi iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kigali, Nyambirambo jijini hapa.
Kutokana na ushindi huo, Kilimanjaro Queen imefikisha pointi nne huku Uganda waliokuwa kileleni kabla ya mechi ya jioni kati ya Rwanda na Ethiopia.
Kilimanjaro Queens ambayo ilitwaa ubingwa huo katika mashindano ya kwanza yaliyofanyika Jinja, Uganda mwaka juzi ilienda mapumziko ikiwa na mabao 3-0.
Nahodha Asha Rashid 'Mwalala' leo ameyefunga mabao mawili Queens ikishinda 4-1
Mabao ya Kilimanjaro Quuens katika mechi ya leo yamefungwa na Donisia Daniel, Asha Hamza na nahodha Asha Rashid " Mwalala" aliyefunga mawili wakati bao pekee la Uganda lilifungwa na Shadya Nankya katika dakika za lala salama.
Kocha wa Kilimanjaro Queens, Bakari Shime alisema amefurahishwa na matokeo ya jana na anaamini wachezaji wake wataendelea na kasi walioionyesha ili kumaliza katika nafasi nzuri.
Shime alisema michuano ya mwaka huu imekuwa na ushindani zaidi kwa sababu timu zote zilijiandaa kushindana kutokana na kuahirishwa kwa michuano hiyo ambayo awali ilipangwa kufanyika Mei mwaka huu.
Kilimanjaro Queen itacheza mechi yake ya mwisho ya mashindano hayo Ijumaa dhidi ya Ethiopia wakati wenye Rwanda maarufu kwa jina la She- Amavubi watachuana na Kenya na timu itakayokuwa na pointi ndio itatangazwa kuwa mabingwa wapya.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2LI1Zpt
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms