• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ▼  Juli (481)
      • SPURS YAITANDIKA AC MILAN 1-0 MAREKANI...MAMBO YA ...
      • SANCHEZ AFUNGA MAN UNITED WAWACHAPA REAL MADRID 2-...
      • ALISSON AANZA KUJIFUA NA LIVERPOOL TAYARI KWA KAZI
      • SIMBA SC MAZOEZINI LEO MJINI ISTANBUL MAANDALIZI Y...
      • MAZOEZI YA AZAM FC KATIKA PICHA LEO MAKERERE
      • AZAM FC YAANZA KUJIFUA VIKALI UGANDA KUJIANDAA NA ...
      • 2018 Hollywoodbets Murray Cup: First Round Fixtures
      • Sri Lanka vs South Africa: Second ODI Preview
      • RONALDO AFANYIWA VIPIMO VYOTE VYA AFYA JUVENTUS
      • RAIS SIMBA SC AMUONDOA NIYONZIMA KAMBI YA UTURUKI ...
      • Fairview Tuesday 31 July 2018 Best Bets
      • AMA KWELI KUPENDA NI MARADHI, TAZAMA HAWA MASHABIK...
      • Super Rugby 2018 Final: Crusaders vs Lions Preview
      • WTA Tour: Citi Open Ro32 Preview
      • MTIBWA SUGAR YAMUONGEZEA MKATABA SALUM KIHIMBWA HA...
      • ATP Tour: Citi Open Ro64 Preview
      • BIASHARA UNITED YA MARA YAENDA KENYA KWA MECHI ZAI...
      • KCB WASAINI MKATABA MPYA NA TFF KUENDELEA KUDHAMIN...
      • India vs England: First Test Preview
      • West Indies vs Bangladesh: First T20 Preview
      • AKINA SAMATTA WAANZA NA MOTO MSIMU MPYA LIGI KUU U...
      • EDDY JUAN FRANCIS NA MANA NAKAO MABEKI WA TANZANIA...
      • MOURINHO NA SANCHEZ WAKITAFAKARI KIPIGO CHA LIVERPOOL
      • REAL MADRID WAANZA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA MAREKANI
      • RONALDO AWASILI TURIN KUANZA RASMI KAZI JUVENTUS
      • YANGA NA GOR MAHIA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA
      • YANGA SC WADAI TFF IMEWAFUNGISHA KWA GOR MAHIA LEO...
      • YANGA SC YAFUNGA KWA MARA YA KWANZA MAKUNDI AFRIKA...
      • Flamingo Park Monday 30 July 2018 Best Bets
      • Greyville Monday 30 July 2018 Best Bets
      • YAHYA ZAYED AREJEA KIKOSINI AZAM FC BAADA YA KUSHI...
      • KILIMANJARO QUEENS WAKUTANA NA KATIBU WA WIZARA DO...
      • F1 2018: Hungarian Grand Prix Preview
      • BMT, TFF WASAIDIE KUWASHINIKIZA VIONGOZI YANGA WAI...
      • HII NI PAMBA YA MWANZA YA AKINA GEORGE GOLE, HAMZA...
      • MAN CITY YAICHAPA BAYERN MUNICH 3-2 MAREKANI
      • WHYTE AMSHINDA PARKER KWA POINTI NA KUTWAA TAJI LA...
      • UVUMILIVU NA UMOJA UTAWAFIKISHA YANGA KANANI
      • Turffontein Sunday 29 July Best Bets
      • LIVERPOOL YAISHINDILIA MAN UNITED 4-1 MECHI YA KIR...
      • CHELSEA YAISHINDA INTER MILAN KWA MATUTA UFARANSA
      • MBEYA CITY YAICHAPA MTIBWA 2-0 MECHI YA KIRAFIKI M...
      • LACAZETTE AFUNGA MABAO MAWILI ARSENAL YAIPIGA PSG 5-1
      • RAIS DK JPM AWATEUA JERRY MURO, JOKATE ‘KIDOTI’ MW...
      • Lions Bounce Back to Beat Waratahs
      • RESULT - It's My Turn wins the eLan Gold Cup 2018
      • Clinical Crusaders March On
      • SIMBA SC KUMENYANA NA MC OUDJA YA LIGI KUU YA MORO...
      • KILIMANJARO QUEENS WAREJEA KWA BASI NA KOMBE LAO B...
      • POGBA AUACHA UFARANSA KWA MUDA, AWA MUARGENTINA
      • FETTY DENSA MCHEZAJI BORA CECAFA CHALLENGE 2018
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 28 July 2018
      • Greyville Saturday 28 July 2018 Best Bets
      • MAZOEZI YA JIONI SIMBA SC KAMBI YA UTURUKI LEO
      • KILIMANJARO QUEENS MABINGWA TENA KOMBE LA CHALLENG...
      • CANNAVARO APEWA UMENEJA YANGA, MZIMBABWE WA SINGID...
      • SIMBA SC WALIVYOFANYA MAZOEZI YA KUJENGA MISULI UT...
      • eLan Gold Cup: Trainer Comments
      • eLan Gold Cup: Jockey Comments
      • MALCOM ATAKA KUWA SHUJAA MPYA MBRAZIL BARCELONA
      • FRED AINGIA KAMBINI MAREKANI TAYARI KWA KAZI MAN U...
      • PAZIA LA USAJILI; YANGA WAFANYA MAAJABU DAKIKA ZA ...
      • MBAO FC YASAJILI KIPA ALIYECHEZA KENYA, SOMALIA NA...
      • DILUNGA, NDEMLA HAWA HAPA UTURUKI WAKIJIFUA NA SIMBA
      • Fairview Friday 27 July 2018 Best Bets
      • YANGA SC YASAJILI WAKONGO WAWILI, KIPA NA MSHAMBUL...
      • SERIKALI YAOMBA MSAADA WA INTERPOL KUMKAMATA HANS ...
      • International Champions Cup Preview (28 Jul - 1 Aug)
      • MTN8 2018 Quarter-Final Fixtures Announced
      • PRO14 2018/19 Fixtures Announced
      • NAIBU WAZIRI SHONZA KUWA MGENI RASMI SIKU YA UREMB...
      • DANIEL LYANGA ATUA AZAM FC KUZIBA PENGO LA SHAABAN...
      • West Indies vs Bangladesh: Third ODI Preview
      • MOURA AFUNGA MAWILI KAMA LLORENTE SPURS YASHINDA 4-1
      • MAN UNITED YAIGONGA AC MILAN KWA MATUTA MAREKANI
      • RASMI SASA DILUNGA NI MCHEZAJI HALALI WA SIMBA, AN...
      • ANDRE SCHURRLE AJIUNGA NA FULHAM KWA MKOPO
      • SALAH ATOKEA BENCHI NA KUISAIDIA LIVERPOOL KUIPIGA...
      • MAGULI AJIUNGA NA AS KIGALI YA RWANDA KAMA MCHEZAJ...
      • DOGO WA LEICESTER CITY AITWA SERENGETI BOYS KUCHEZ...
      • AWADH JUMA 'MANICHE' ASAINI MIAKA MIWILI MTIBWA SUGAR
      • Vaal Thursday 26 July 2018 Best Bets
      • MABONDIA WA KIKE, MAIMUNA NA HAPPY KUPIGANA NANE N...
      • MAHAKAMA YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA TFF DHIDI YA...
      • TENGA AWAASA TFF KUFIKIRIA UPYA KUONGEZA IDADI YA ...
      • SINGIDA UNITED YAMSAJILI 'RASTA' AWESU ALIYETISHA ...
      • MASHINDANO YA VIJANA U-15, U-17, U-20 KUANZA OKTOB...
      • KILIMANJARO QUEENS YAENDELEA KUJIFUA KWA MCHEZO WA...
      • Barcelona Sign Brazilian Youngster
      • CAF CL: Sundowns v AS Togo-Port Preview
      • KwaZulu-Natal Premier's Cup Preview
      • ALLIANCE FC YAMSAJILI MKALI KUTOKA LIGI KUU YA RWANDA
      • MBAO YAMSAJILI PASTORY ATHANAS ALIYEWAHI KUCHEZA S...
      • MAREFA WA MAURITIUS KUCHEZESHA MECHI YA YANGA NA G...
      • Horse Racing Facebook Promotion Terms and Conditions
      • PGA Tour: RBC Canadian Open Preview
      • European Tour: Porsche European Open Preview
      • MESSI NA MKEWE WAHUDHURIA SHEREHE YA HARUSI YA FAB...
      • BOURNEMOUTH YAMSAJILI BEKI HODARI KUTOKA LA LIGA
      • MOUTINHO ATUA WOLVES KWA PAUNI MILIONI 5 KUTOKA MO...
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » UTETEZI WA RAIS WA TFF, WALLACE KARIA JUU YA KUONGEZA WACHEZAJI WA KIGENI LIGI KUU

UTETEZI WA RAIS WA TFF, WALLACE KARIA JUU YA KUONGEZA WACHEZAJI WA KIGENI LIGI KUU

"Ndugu zangu waandishi wa habari. Nimewaita leo hapa kuja kuzungumzia suala la wachezaji kumi wa kigeni kucheza katika ligi kuu ya nchi yetu.nimeona nilizungumzie kutokana na maoni mbalimbali yanayotolewa na watu tofauti kuhusu jambo hili.
Kwanza nianze na utaratibu wetu wa upitishaji wa kanuni, huko nyuma kulikuwa na migogoro mingi juu ya kutoshirikishwa kikamilifu kwa vilabu wakati wa upitishaji kanuni. Ili kuondoa migogoro hiyo TFF iliamua kuwa mchakato wa kanuni mbali na kushirikisha wadau wengine lakini vilabu vipewe uzito katika masuala yanayohusu kanuni za ligi zetu.

Rais wa TFF, Wallace Karia (kulia) akiwa na Kaimu Makamu wake, Athumani Nyamlani katika mkutano wake na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam

Hivyo kama kawaida vilabu vya ligi kuu kupitia aliyekuwa mwenyekiti wao wa bodi ya ligi waliitisha kikao 30Juni,2018 katika ukumbi wa mikutano uwanja wa Taifa kuzungumzia masuala kadhaa likiwemo suala la kanuni mpya za Ligi Kuu.
Baada ya kikao cha Bodi ya Ligi walileta mapendekezo ya kanuni mbalimbali kwa kamati ya Utendaji ya TFF ili yapitishwe, moja ya mapendekezo yao ilikuwa ni mabadiliko ya kanuni ya 57, ambapo walipendekeza ongezeko la wachezaji wa kigeni kutoka saba mpaka wachezaji 10.mapendekezo ya kanuni yalijadiliwa katika kikao cha kamati ya utendaji ya tff na wakakubaliana na hoja za vilabu vya ligi kuu na kupitisha maombi yao.
Ndugu waandishi niliona ni vyema kuanza kuwaonyesha utaratibu uliotumika hadi kanuni hii ikapitishwa ili angalau watu waone jinsi tff yangu inavyofanya kazi kwa utawala wa sheria na kuhakikisha vilabu vikiwa ni wadau muhimu wa ligi zetu vinasikilizwa.
Baada ya majadiliano ya kina kuhusu kanuni na.57, faida za wachezaji wa kigeni ni kama ifuatavyo;

Kibiashara.
Ligi kuu ya nchi inapokuwa na wachezaji wa kigeni inavutia uwekezaji mkubwa kwa makampuni mbalimbali kwa sababu ligi inakuwa na mvuto na ushindani mkubwa.
Lakini pia ligi yetu itakuwa inafuatiliwa kwenye nchi nyingi ambazo wachezaji wanatoka na kuwapa wadhamini wetu fursa pana zaidi kujitangaza.

Kwenye ukuzaji wa program za vijana.  
Unapokuwa na ligi yenye mvuto ina maana uwekezaji unakuwa mkubwa na mapato ya ligi yanaongezeka, kwa wenzetu waliondelea faida inayopatikana kwenye ligi ndiyo inasaidia kwenye kuwekeza katika maendeleo ya program za vijana, ndo maana wachezaji wa kigeni wameisaidia ligi kuu ya england kuwa na thamani kubwa, hivyo kupata faida inayowekezwa kwenye program mbalimbali za vijana. Na ushahidi england ndiyo mabingwa wa dunia wa vijana chini ya miaka 17 na chini ya miaka 20. Lakini ligi yao kwa kuwa na wachezaji wengi kutoka nchi mbalimbali kumesaidia uboreshaji wa viwango vya wachezaji wa kiingereza na mafanikio yao ya karibuni ni kufikia nusu fainali ya kombe la dunia.

Kiufundi.
Wachezaji wetu watapata nafasi ya kuboresha viwango vyao uchezaji kwa kukutana na wachezaji ambao wana viwango vyenye ubora.
Lakini pia uwepo wa wachezaji wa kigeni utasaidia vijana wetu kujifuza kuwa mpira ni kazi hivyo kuhakikisha wanatunza viwango vyao.

Maslahi ya wachezaji wetu.
Kipindi hiki ambacho wachezaji wa kigeni wamekuwa wanasajiliwa imesaidia pia wachezaji wetu kuboreshewa mishahara.

Kuhusu Timu za Taifa.
Maendeleo ya mpira wa miguu yamebadilika sana. Vikosi vya timu za taifa vimekuwa vikitegemea wachezaji wanaocheza kwenye ligi zenye ubora wa juu wakiamini wachezaji wanaocheza ligi hizo wanapata ushindani mkubwa na wanaweza kushindana.
Nitatoa mifano ya vikosi vya vya timu za taifa vilivyoshiriki mashindano ya kombe la dunia kutoka afrika.
Misri kwenye kikosi cha kwanza kilichoanza kulikuwa kuna wachezaji wanne tu wanaocheza ligi ya nyumbani na ikizingatiwa ligi ya misri ni miongoni mwa ligi bora tulizonazo afrika.
Nigeria kwenye kikosi cha kwanza walichokuwa wanaanza kulikuwa hakuna mchezaji hata mmoja anayecheza ligi ya nyumbani.
Senegal kwenye kikosi chao cha kwanza kilichokuwa kinaanza kilikuwa na mchezaji mmoja tu aliyekuwa anacheza ligi ya nyumbani.
Tunisia kwenye kikosi cha kwanza walikuwepo wachezaji wanne wanaocheza nyumbani.
Morocco kwenye kikosi chao cha kwanza hakukuwa na mchezaji hata mmoja wa ndani, na ikumbukwe hawa ndiyo mabingwa wa kombe la chan lakini hata mchezaji mmoja hakuwa na nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza.
Kwenye kombe la dunia nitoe mfano wa timu mbili za ubelgiji na ufaransa.
Ufaransa ambao ndiyo mabingwa wachezaji waliokuwa wanaanza kikosi cha kwanza ni wachezaji wawili tu waliokuwa wanapata nafasi ya kuanza.na wote tunajua ubora wa ligi ya ufaransa.
Ubelgiji kwenye kikosi chao cha kwanza cha Timu ya Taifa kulikuwa hakuna mchezaji hata mmoja aliyekuwa anaanza kwenye kikosi cha kwanza.
Hii inatupa fundisho hili tuwe na kikosi imara cha Timu ya Taifa Taifa Stars ni vyema tukawekeza kwa wachezaji wetu kupata nafasi ya kucheza kwenye ligi zenye ubora. Hivyo wakati tunaimarisha ligi yetu ni vyema pia vijana wetu wakapata firsa ya kutoka na kucheza ligi za wenzetu zenye ubora wa hali ya juu.
Sasa nisemee kuhusu takwimu za wachezaji wa kigeni kwa msimu uliopita.
Tulikuwa na timu za ligi kuu 16 zilizopaswa kusajili wachezaji 480, idadi ya wachezaji wa kigeni waliosajiliwa ni 40 ikiwa ni asilimia 8.3.
Hivyo wachezaji wazawa ilikuwa ni zaidi ya asilimia 90. Hivyo ikionyesha kwamba bado ligi yetu ina namba ya wachezaji wazawa wa kutosha kwa idadi ya zaidi ya asilimia 90.

Msimu wa mwaka 2018/2019.
Kwa msimu huu mpaka tunapoongea wachezaji wa kigeni na vilabu vilivowasajili ni kama ifuatavyo,
1.Simba-8
2.Yanga-2
3.Azam-6
4.Singida-5
5.Biashara-4
6.Stand United-4
7.Mbeya City-1
8. KMC FC-2

Hadi muda huu wachezaji waliombewa wa kigeni ni 32. Ikiwa ni asilimia 5 ya wachezaji watakaosajiliwa.wakati dirisha linafungwa alhamisi 26July,2018 kwa idadi iliyopo tunategemea idadi ya wachezaji wa kigeni itapungua tofauti na msimu uliopita tuliokuwa na asilimia 8 ya wachezaji wa kigeni.
Na wachezaji wa kigeni waliosajiliwa na vilabu vya ligi kuu lazima watimize masharti ya kikanuni kwa kusajili mchezaji anayecheza timu ya taifa au ligi kuu , au vyote viwili awe mchezaji wa ligi kuu na timu ya taifa.
Kanuni hii imewekwa ili kuwalinda wachezaji wetu kwa kuwa na wachezaji wenye ubora ambao watasaidia kuboresha viwango vya wachezaji wetu na thamani ya ligi yetu.
Ndugu zangu waandishi wa habari baada ya kusema haya niseme kama rais wa TFF nimepokea maoni mbalimbali tunaweza kupima sisi wenyewe kama kuna athari kubwa inayotokana na kanuni hii basi tuna nafasi ya kukaa chini na vilabu ili tuifanyie mabadiliko,".
(Haya ni maelezo ya Rais wa TFF, Wallace Karia katika mkutano wake na Waandishi wa Habari leo Julai 24,2018 mjini Dar es Salaam)


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Of6sSa best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang UTETEZI WA RAIS WA TFF, WALLACE KARIA JUU YA KUONGEZA WACHEZAJI WA KIGENI LIGI KUU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/07/utetezi-wa-rais-wa-tff-wallace-karia.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.55
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
Copyright Viral Sports: UTETEZI WA RAIS WA TFF, WALLACE KARIA JUU YA KUONGEZA WACHEZAJI WA KIGENI LIGI KUU