Na Sada Salim, DAR ES SALAAM
SIMBA SC inawatafutia timu za kuchezea kwa mkopo wachezaji wake watano, akiwemo kipa Said Mohammed Ndunda kutokana na kile kilichoelezwa kutokuwa na nafasi kwenye kikosi cha sasa.
Pamoja na Ndunda, wengine ni kipa Emmanuel Mseja, beki Ally Shomari, kiungo Jamal Mwambeleko na mshambuliaji Moses Kitandu ambao wote hawajasafiri na timu kwenda Uturuki kwenye kambi ya kujiandaa na msimu mpya.
Wachezaji waliopo na Simba SC kambini mjini Instanbul, Kaskazini Mashariki mwa Uturuki ni makipa Deo Munishi ‘Dida’, Aishi Manula, Ally Salim mabeki Shomari Kapombe, Serge Wawa, Yussuf Mlipili, Nicholas Gyan, Asante Kwasi, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Paul Bukaba, viungo Mohammed Ibrahim ‘Mo’, Rashid Juma, James Kotei, Muzamil Yassin, Jonas Mkude, Cletus Chama na Shiza Kichuya, washambuliaji Marcel Kaheza, Abdul Hamisi, Emmanuel Okwi, Nahodha John Bocco, Adam Salamba na Mohammed Rashid.
Said Mohammed Ndunda anatolewa kwa mkopo kwa sababu hana tena nafasi kwenye kikosi cha sasa Simba
Beki Erasto Nyoni wanatarajiwa kuondoka usiku wa kuamkia kesho pamoja na Wanyarwanda Haruna Niyonzima na Meddie Kagere. Nyoni alikuwa ana matatizo ya kifamilia, wakati Niyonzima na Kagere walichelewa kupata visa.
Kiungo Said Ndemla hajasafiri na timu kwa sababu yupo kwenye mipango ya kujiunga na klabu ya AFC Eskilstuna ya Sweden akiwa amemaliza mkataba wake Simba.
Mshambulaji Mrundi, Laudit Mavugo ameachwa wakati beki Mganda, Juuko Murshid ameruhusiwa kwenda kutafuta timu nyingine.
Simba SC imefikia katika hoteli ya Reen Park & Resorts mjini Istanbul na inafanya mazoezi kwenye moja ya viwanja vitano vilivyopo kwenye hoteli hiyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2LEs9Na
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms