KOCHA Jurgen Klopp amesema kwamba mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino hayuko vizuri kwa sasa baada ya Mbrazil kuumizwa jichoni katika mechi dhidi ya Tottenham.
Mshambuliaji huyo alianguka chini kipindi cha pili akiugulia maumivu baada ya kutiwa dole jichoni na beki wa Spurs, Jan Vertonghen wakati wakigombea mpira.
Firmino alibaki chini akiendelea kupatiwa matibabu kabla ya kutolewa na kocha Klopp na nafasi yake kuchukuliwa na Jordan Henderson zikiwa zimebaki dakika 20 mchezo kumalizika.
Maumivu hayo yanamuweka roho juu kwa sasa kocha Klopp huku Liverpool ikikabiliwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Jumanne usiku dhidi ya Paris Saint-Germain.
Beki wa Spurs, Jan Vertonghen (kulia) akimtia dole la macho Roberto Firmino wakati wanagombea mpira PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Klopp, ambaye alionekana kuchanganyikiwa pembezoni mwa Uwanja wakati wa tukio hilo alisema: "Hatujui kabisa kwa sasa. Ni kwenye jicho lake. Niliona tukio hilo kutoka umbali wa mita 60. Kwa kweli kwa sasa hayuko sawa.
"Hayuko sawa kwa sasa, tunahitaji kuona ataendeleaje,"amesema.
Georginio Wijnaldum aliwafungia bao la kwanza Wekundu hao baada ya Michel Vorm kushindwa kuokoa kona na Mholanzi huyo akapiga kichwa kumalizia.
Firmino akafunga la pili mapema kipindi cha pili akitumia makosa menginr ya Vorm kanla ya Erik Lamela kuifungia bao la kufutia machozi Spurs mwishoni mwa mchezo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2CXZsr2
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KLOPP ASEMA DOLE LA JICHO LIMEMUUMIZA VIBAYA FIRMINO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/09/klopp-asema-dole-la-jicho-limemuumiza.html. Terimakasih atas perhatiannya.