KOCHA Mreno, Jose Mourinho amekiri yuko kizani juu ya mustakabali wa kiungo Paul Pogba na amemtaka Mino Raiola kusema wazi mpango wake kwa kiungo huyo wa Manchester United.
Pogba alizungumzia uhamisho wa kwenda Barcelona alipokuwa amekwenda kuitumikia timu yake ya taifa, Ufaransa wiki iliyopita na aliwaambia wachezaji wenzake anataka kuondoka Old Trafford.
Bosi huyo wa United amesema kwamba hana uhakika nini Raiola anatengeneza nyuma ya pazia juu la safari yake ya Watford leo.
Kiungo Paul Pogba anamnyima usingizo kocha wake, Jose Mourinho kutokana na tetesi za kutaka kuondoka PICHA ZAIDI GONGA HAPA
"Kama ninamuona Raiola kwenye kioo anasema wachezaji wanataka kuondoka, na hivyo ndiyo anaandaa njia ya yeye kujaribu kuondoka, kisha nitaamini," alisema Mourinho.
"Kwa wakati huu, nipo kizani. kitu pekee kilichopo wazi kwangu ni kwamba mchezai huyo hajawahia kabisa kunitamkia kabisa siku zote tunazokuwa pamoja kwamba anataka kuondoka. Pia ninataka wakala naye aniambie mimi, au awaambie ukweli katika namna ambavyo ninaweza kuona," amesema Mourinho.
Raiola amekuwa na mazungumzo na Barcelona tangu mwishoni mwa msimu na wingu limetanda kwenye maisha ya Pogba United kufuatia mwanzo mbaya wa msimu.
Mourinho alisema: "Kama hajaniambia anataka kuondoka, ni kwa sababu anataka kubaki. Hilo ndilo hitimisho langu," amesema.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Oja5pz
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms