Cezar Azpilicueta akiwa amembeba N'Golo Kante kumpongeza baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 45 katkka ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City Uwanja wa Stamford Bridge mjini London usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na David Luiz dakika ya 78, pasi za mabao yote akitoa Edin Hazard na kwa matokeo hayo Manchester City ya kocha Pep Guardiola inapoteza mechi ya kwanza ya msimu.
Man City inayobaki na pointi zake 41 baada ya kucheza mechi 16, sasa inaipisha kileleni Liverpool yenye pointi 42 za mechi 41 pia, ambayo inabaki kuwa timu pekee ambayo haijapoteza mechi hadi sasa msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2zScz9g
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms