Na Mwandishi Wetu, MOROGORO
TIMU ya Aza FC imeanza kujiondoa kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuchapwa mabao 2-0 na wenyeji, Mtibwa Sugar Uwanja Manungu, Turiani mkoani Morogoro.
Kwa kipigo hicho, Azam FC inabaki na pointi zake 40 baada ya kucheza mechi 17, sasa ikizidwa pointi 10 na vinara Yanga SC ambao leo wameshinda 2-1 ugenini dhidi ya Mbeya City.
Kwa ushindi huo uliotokana na mabao ya Kelvin Sabato dakika ya 15 na Ally Makarani dakika ya 81, Mtibwa Sugar inafikisha pointi 26 baada ya kucheza mechi 15 na kupanda hadi nafasi ya nne kutoka ya saba.
|
Mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa akimiliki mpira mbele ya beki wa Mtibwa Sugar, Cassian Ponera leo Manungu |
Mechi nyingine za Ligi Kuu leo, African Lyon imelazimishwa sare ya 0-0 na Mwadui FC Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam, Lipuli FC pia imelazimishwa sare ya 0-0 na Ndanda FC Uwanja wa Samora mjini Iringa.
Na Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani bao pekee la mshambuliaji wa mkopo kutoka Yanga, Emmanuel Martin dakika ya 53 limeipa Ruvu Shooting ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara United ya Mara.
Mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu leo unafuatia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, mabingwa watetezi, Simba SC wakiwakaribisha Singida United.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2Vl1Zka
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms