• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ▼  Desember (328)
      • SIMBA SC YAPELEKA KIKOSI KAMILI MICHUANO YA KOMBE ...
      • YANGA SC YAAMUA KUWEKA NGUVU ZAIDI KWENYE LIGI KUU...
      • Fairview Wednesday 2 January 2019 Best Bets
      • Greyville Tuesday 1 January 2019 Best Bets
      • 2018: The Year in Review
      • POGBA AFUNGA MAWILI MANCHESTER UNITED YAICHAPA BOU...
      • N'GOLO KANTE AING'ARISHA CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL ...
      • MAN CITY YAZINDUKA NA KUICHAPA SOUTHAMPTON 3-1
      • IDDI PAZI 'FATHER' AICHAMBUA SAFU YA ULINZI YA SIM...
      • HII NDIYO SIMBA ILIYOTAMBA MWAKA 1993 HADI KUFIKA ...
      • MTIBWA SUGAR 2-0 AZAM FC (LIGI KUU TZ BARA)
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA KASONGO ATHUMANI M...
      • SIMBA SC 3-0 SINGIDA UNITED (LIGI KUU TZ BARA)
      • MBEYA CITY 1-2 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • FIRMINO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHABANGA ARSE...
      • RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YAZIDI KUPAA SERIE A
      • KICHUYA AFUNGA MAWILI SIMBA SC YAISHINDILIA SINGID...
      • AZAM FC YAANZA KUJITOA MBIO ZA UBINGWA LIGI KUU, Y...
      • YANGA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHA...
      • TIMU ZA AFRIKA MASHARIKI ZAPEWA VIGOGO KOMBE LA SH...
      • TOFAUTI YA SIMBA SC NA WAPINZANI WAKE WOTE KUNDI D...
      • SIMBA YAPANGWA KUNDI D NA AL AHLY, AS VITA NA TIMU...
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA JKT, TANZANIA PRISONS YALAZI...
      • Gallagher Premiership: Round 11 Preview
      • Predict and Win: Liverpool vs Arsenal Ts and Cs
      • English Premier League: Week 20 Preview
      • LIVERPOOL WAKO TAYARI KWA MECHI NA ARSENAL KESHO A...
      • Clinton Larsen Parts Ways with Golden Arrows
      • SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO GENK IKISHINDA 3-1...
      • LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA BARA KUANZA JUMAMOSI
      • L'Ormarins Queen's Plate 2019 - Final Field
      • Top 14: Round 13 Preview
      • PRO 14: Round 12 Preview
      • Vaal Monday 31 December 2018 Best Bets
      • Greyville Sunday 30 December 2018 Best Bets
      • Turffontein Saturday 29 December 2018 Best Bets
      • Kenilworth Best Bets Saturday 29 December 2018
      • Greyville Friday 28 December 2018 Best Bets
      • HAZARD AFIKISHA MABAO 100 CHELSEA IKIICHAPA 2-1 WA...
      • ARSENAL WAAMBULIA SARE KWA BRIGHTON & HOVE ALBION,...
      • LEICESTER CITY YAIPIGA MANCHESTER CITY 2-1 KING POWER
      • LIVEROOOL YAZIDI 'KUPOTELEA' KILELENI LIGI KUU ENG...
      • POGBA ALIPOFUNGA MABAO MAWILI MAN UNITED YA SOLSKJ...
      • SIMBA SC 2-3 MASHUJAA FC (KOMBE LA TFF)
      • MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI KUANZA JANUARI 1, Y...
      • SIMBA SC YAPIGWA 3-2 NA MASHUJAA YA KIGOMA NA KUTO...
      • AUBAMEYANG ASHEREHEKEA KRISIMASI KWENYE LAMBORGHIN...
      • THOMAS ULIMWENGU ASAINI MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA J...
      • YANGA SC 4-0 TUKUYU STARS (KOMBE LA TFF)
      • New Zealand vs Sri Lanka: Second Test Preview
      • Australia vs India: Third Test Preview
      • TAMBWE APIGA HAT-TRICK YANGA YAICHAPA TUKUYU STARS...
      • 5 Talking Points: English Premier League
      • Fairview Friday 28 December 2018 Best Bets
      • Vaal Thursday 27 December 2018 Best Bets
      • UGANDA YAWANIA NAFASI MBILI HATUA YA MAKUNDI KOMBE...
      • South Africa vs Pakistan: First Test Preview
      • SIMBA TIMU PEKEE AFRIKA MASHARIKI NA KATI ILIYOFUZ...
      • SIMBA SC NA NKANA FC KATIKA PICHA UWANJA WA TAIFA ...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA ALLY SHAH ANAYEISH...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MONJA LISEKI
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA IDDI PAZI 'FATHER'
      • MPENZI WA SIMBA, MTUNZA VIFAA WA TAIFA STARS AFARI...
      • JOSHUA MBISSE WA KING’ORI MKOANI ARUSHA AKABIDHIWA...
      • Greyville Wednesday 26 December 2018 Best Bets
      • Fairview Monday 24 December 2018 Best Bets
      • SAMATTA APIGA ZOTE MBILI KRC GENK YASHINDA 2-0 UGE...
      • SIMBA SC 3-1 NKANA FC (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
      • AZAM FC YAICHAPA MADINI 2-0 NA KUINGIA HATUA YA 32...
      • SIMBA SC WAICHAPA NKANA FC 3-1 NA KUFUZU MAKUNDI L...
      • WAKALI WALIOKARIBIA KUIPA PILSNER UBINGWA WA LIGI ...
      • REAL MADRID YATWAA KOMBE LA DUNIA MARA YA TATU MFU...
      • NDANDA, MWADUI NA MBAO FC ZATUPWA NJE NA TIMU ZA ‘...
      • MAN UNITED YAANZA VYEMA CHINI YA SOLSKJAER, YASHIN...
      • WAZIRI KAKUNDA MGENI RASMI MECHI YA SIMBA SC NA NK...
      • CHELSEA WACHAPWA 1-0 NA LEICESTER CITY STAMFORD BR...
      • MAN CITY WANOGEWA NA VIPIGO, NA LEO WAMECHAPWA 3-2...
      • AUBAMEYANG AFUNGA MAWILI ARSENAL YAIPIGA 3-1 BURNLEY
      • MTIBWA SUGAR WAPIGWA NJE, NDANI NA KUTOLEWA KIZEMB...
      • SANCHO AFUNGA DORTMUND IKIIPIGA MONCHENGLADBACH 2-0
      • CHILUNDA ATOKEA BENCHI NA KUISAIDIA TENERIFE KUPAT...
      • REAL MADRID KUBEBA KLABU BINGWA YA DUNIA BILA RONALDO
      • LIVERPOOL YAICHAPA WOLVES 2-0 NA KUJITANUA KILELEN...
      • KASEJA AIPELEKA KMC 32 BORA KOMBE LA TFF, RUVU YAT...
      • Greyville Sunday 23 December 2018 Best Bets
      • Turffontein Saturday 22 December 2018 Best Bets
      • Kenilworth Best Bets Saturday 22 December 2018
      • Clinical Dolphins dismantle Lions in emphatic style
      • Predict & Win: Everton v Tottenham (T's & C's)
      • ABDALLAH KHERI 'SEBO' KUWA NJE MIEZI TISA BAADA YA...
      • MSHAMBULIAJI WA SIMBA SC AJIUNGA NA AFC LEOPARDS Y...
      • Dolphins bowlers put them prime position after day...
      • Greyville Friday 21 December 2018 Best Bets
      • Fairview Friday 21 December 2018 Best Bets
      • AFRICAN LYON 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • SERENGETI BOYS YAPANGWA NA NIGERIA, ANGOLA NA UGAN...
      • Spanish La Liga: Gameweek 17 Preview
      • SIMBA SC 2-1 KMC (LIGI KUU TZ BARA)
      • SOLSKJAER ALIVYOWASILI CARRINGTON LEO KUANZA KAZI ...
      • YANGA SC YAICHAPA AFRICAN LYON 1-0 NA KUZIDI KUPAA...
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » SIMBA SC WAICHAPA NKANA FC 3-1 NA KUFUZU MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

SIMBA SC WAICHAPA NKANA FC 3-1 NA KUFUZU MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SIMBA SC imefanikiwa kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo, Simba SC inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3, kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza mjini Kitwe Jumamosi iliyopita. 
Mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ilikuwa mwaka 2003 na walikuwa hao hao Simba SC waliofika hatua hiyo, wakifuata nyayo za wapinzani wao wa jadi, Yanga SC waliokuwa timu ya kwanza nchini kufikia mafanikio hayo mwaka 1998. 

Simba SC ililazimika kutoka nyuma kwa bao 1-0 kupata ushindi huo, baada ya wageni, Nkana FC kutangulia kwa bao la Walter Bwalya aliyefunga kwa kichwa dakika ya 17 akimalizia krosi ya Harison Chisala kutoka upande wa kulia.
Bao hilo lilionekana kuwavuruga Simba SC na kuwapa mwanya Nkana FC kucheza kwa uhuru zaidi uwanjani, lakini kosa la wageni lilikuwa ni kuridhika ba bao hilo, huku wakicheza kwa kujihami.    
Wachezaji wa Simba wakaamua kuwa wanajaribu kwa mashuti ya mbali na makombora mawili yakawasisimua mashabiki kwanza Erasto Edward Nyoni akigongesha mwamba na baadaye shuti la mshambuliaji Mghana, Emmanuel Okwi likipaa juu kidogo ya lango.
Lakini shuti la kiungo Jonas Gerald Mkude dakika ya 29 baada ya kupokea pasi ya beki wa kushoto, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ halikupotea njia, lilimpita kipa Allan Chibwe kama mshale na kuipatia Simba SC bao la kusawazisha.
Simba SC wakaendelea kulishambulia lango la Nkana FC huku wakirudi haraka kujilinda kila walipopoteza mpira, nidhamu ambayo iliwasaidia kumaliza kipindi cha kwanza wakiwa wanaongoza kwa mabao 2-1.
Na hiyo ni baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere kuifungia Simba SC bao la pili dakika ya 45 kwa kichwa akimalizia krosi nzuri ya beki Mghana, Nicholaus Gyan kutoka kulia, zamani mshambuliaji.
Kipindi cha pili kocha Mbelgiji wa Simba SC, Patrick J. Aussems alifanya mabadiliko ya mapema katika safu ya ulinzi, akimtoa Mghana, Nicholas Gyan na kumuingiza Mganda Juuko Murshid. 
Kocha wa Nkana FC, Beston Chambeshi, naye akajibu kwa mabadiliko ya kwenye safu ya ushambuliai, akimtoa Kelvin Kampamba na kumuingiza Chisamba Lungu.
Simba SC ikapata pigo dakika ya 57 baada ya mfungaji wa bao lake la pili, Kagere kushindwa kuendelea na mchezo kufuatia kuumia na nafasi yake kuchukuliwa na kiungo Hassan Dilunga.
Nkana nao wakafanya mabadiliko mengine, wakimtoa Ronald Kampamba na kumuingiza Freddy Tshimbenga dakika ya 58 kabla ya kumtoa pia Shadrack Malambo na kumuingiza Festus Mbwewe, wakati Simba nayo baadaye ilimpumzisha Okwi na kumuingiza Shiza Kichuya.
Mabadiliko hayo yaliinufaisha Simba SC iliyofanikiwa kupata bao la tatu dakika ya 88 kupitia kwa kiungo wake Mzambia, Clatous Chota Chama aliyemalizia pasi ya Hassan Dilunga.
Bao hilo liliwazima kabisa Nkana FC walioonekana kucheza kwa kuvizia mikwaju ya penalti pamoja na mshambuliaji wake, Bwalya kupoteza nafasi zaidi ya tatu nzuri za kufunga.
Nkana inakwenda kumenyana na moja ya timu zilizofuzu hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho Afrika Afrika kuwania kucheza hatua ya makundi ya michuano hiyo midogo ya CAF. 
Kikosi cha Simba SC kilikuwa: Aishi Manula, Nicholas Gyan/Juuko Murshid dk52, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Erasto Nyoni, Pascal Wawa, James Kotei, Clotous Chama, Jonas Mkude, John Bocco, Meddie Kagere/Hassan Dilunga dk57 na Emmanuel Okwi/Shiza Kichuya dk79.
Nkana FC: Allan Chibwe, Hassan Ramadhan ‘Kessy’, Ben Banh, Richard Ocran, Musa Mayeko, Duncan Otieno, Harrison Chisala, Shadrack Malambo/Festus Mbwewe dk69, Ronald Kampamba/Freddy Tshimbenga dk58, Walter Bwalya na Kelvin Kampamba/Chisamba Lungu dk55.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2ELUSfW best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SC WAICHAPA NKANA FC 3-1 NA KUFUZU MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/12/simba-sc-waichapa-nkana-fc-3-1-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 07.27
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: SIMBA SC WAICHAPA NKANA FC 3-1 NA KUFUZU MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA