Wachezaji wa River Plate wakifurahia na taji lao la Copa Libertadores baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya wapinzani wao wa Argentina, Boca Juniors katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Amerika Kusini usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid, Hispania. Mabao ya River Plate yalifungwa na Lucas Pratto dakika ya 68, Juan Quintero dakika ya 109 na Gonzalo Martinez dakika ya 120 na ushei baada ya Boca Juniors kutangulia kwa bao la Dario Benedetto dakika ya 44.
Kwa matokeo hayo, River Plate wanabeba Copa Libertadores kwa ushindi wa jumla wa 5-3, kufuatia sare ya 2-2 kwenye mchezo wa kwanza Novemba 11 Uwanja wa Alberto Jose Armando Uwanja wa Ciudad de Buenos Aires PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2EorqMu
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms