CAMEROON imeanza vyema michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Guinea katika mchezo wa Kundi B jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam.
Steve Regis Mvoue alifunga bao la kwanza dakika ya 42 akimalizia pasi ya kiungo mwenzake, Saidou Alioum Moubarak, kabla ya kumsetia mshambuliaji Leonel Wamba Djouffo kufunga la pili dakika ya 72.
Mchezo mwingine wa Kundi B leo, Morocco imetoa sare ya 1-1 na Senegal hapo hapo Uwanja wa Azam Complex, unaomilikiwa na klabu ya Azam FC.
Wachezaji wa Cameroon wakishangilia shindi wa mabao 2-0 dhidi ya Guinea leo Uwanja wa Azam Complex
Mshambuliaji Tawfik Bentayeb alianza kuifungia Morocco dakika ya 47 akimalizia pasi ya kiungo Faissal Boujemaoui, kabla ya mshambuliaji Aliou Badara Balde kuisawazishia Senegal dakika ya 88 akimalizia kazi nzuri ya kiungo Samba Diallo.
Ikumbukwe mechi za ufunguzi jana, wenyeji Tanzania walianza vibaya baada ya kuchapwa mabao 5-4 na Nigeria huku jirani zao, Uganda nao wakipigwa 1-0 na Angola.
Kesho ni mapumziko na michuano hiyo itaendelea kesho, Nigeria wakianza kumenyana na Angola Saa 10:00 jioni kabla ya Serengeti Boys kumenyana na jirani zao, Uganda Saa 1:00 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2InHv79
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms