Na Asha Said, DAR ES SALAAM
MABONDIA wawili wa Tanzania, Suleiman Bangaiza na Goodluck Mrema leo wamepima uzito kwa ajili ya mapambano yao yatakayofanyika kesho ukumbi wa Seagulls Rugby League Club, Tweed Heads mjini New South Wales nchini Australia.
Akizingumza kwa simu kutoka New South Wales, Makamu wa Rais wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (PST), Anthony Ruta amesema Mrema atazipiga na Jason Moloney wa Australia kugombea ubingwa wa Chama cha Ngumi Duniani (WBA) uzito wa Bantam katika pambano la Raundi 10.
Suleiman Bangaiza (wa pili kushoto) akiwa na mpinzani wake, Andrew Moloney wakati wa kupima uzito
Suleiman Bangaiza na Goodluck Mrema katika picha ya pamoja na wapinzani wao baada ya kupima uzito
Ruta ambaye naye ni bondia wa zamani wa kimataifa, amesema kwa upande wake Bangaiza atazipiga na bingwa wa WBA Oceania, Andrew Moloney katika pambano la uzito wa Super Fly.
Rutta amesema kwamba wanashukuru wamefika salama nchini humo na kesho mabondia hao wapo tayari kwa mapambano hayo yanayotambuliwa na WBA.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2Rd7hN2
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms