BAO pekee la Tapson Kaseba limeipa Zambia ubingwa wa michuano ya Mataifa ya Kusini mwa Afrika, COSAFA 2019 baada ya kuilaza Botswana 1-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Moses Mabhida juzi.
Matokeo hayo yanamaanisha Zambia wanabeba taji hilo kwa mara ya tano, sasa wakizidiwa taji moja tu na Zimbabwe wanaoongoza kulichukua mara nyingi.
Na hilo linakuwa taji la kwanza kwao tangu mwaka 2013 walipobeba kwa mara ya mwishon kabla ya kuja kulikosakosa mara mbili walipoingia fainali na kufungwa.
Kwa ushindi huo, Zambia wamezawadiwa Randi 500,000, wakati Botswana wameondoka na Randi 250,000 huku washindi wa tatu, Zimbabwe wakipewa Randi 150,000, Leostho Randi 125,000 kwa kumaliza nafasi ya nne, wakati washindi wa fainali ya Plate, Afrika Kusini wamepata Randi 100,000.
Baada ya mechi hiyo, Mmalawi Gerald Phiri Jr. alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashindano akizawadiwa Randi 20,000, kipa wa Zambia, Mwange akishinda tuzo ya Kipa Bora wa Mashindano na kupewa pia kiasi hicho cha fedha.
Na Randi 20,000 nyingine za Ufungaji Bora watagawana wachezaji watatu, Wamalawi wawili Phiri Junior na Mhango na mshambuliaji wa Mauritius, Ashley Nazira ambao kila mmoja alifunga mabao matatu.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2IB8hGU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms