Nahodha Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid dakika ya 38 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Osasuna usiku wa jana Uwanja wa El Sadar, Pamplona kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Isco dakika ya 33, Lucas Vázquez dakika ya 84 na L. Jović dakika ya 90 na ushei wakati la Osasuna lilifungwa na Unai Garcia dakika ya 14 na kwa ushindi huo kikosi cha kocha Mfaransa, Zinadine Zidane kinafikisha pointi 52 katika mchezo wa 23 kikiendelea kuwazidi mabingwa watetezi, Barcelona pointi tatu kileleni PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/38f7pU6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms