BONDIA Tyson Fury 'Gypsy King' anataka zaidi pambano la kuunganisha mataji ya dunia ya uzito wa juu dhidi ya Muingereza mwenzake, Anthony Joshua kuliko kupigana kwa mara ya tatu na Mmarekani Deontay Wilder.
Fury anayeshikilia taji la WBC ambaye sasa amefikisha mapambano 30 ya kushinda akiwa hajapoteza hata moja zadi ya droo kwenye pambano la kwanza na Wilider, anataka kuwa bingwa asiyepingika wa uzio wa juu duniani.
Mbabe huyo mwenye umri wa miaka 31 kwa pamoja na timu yake wanajaribu kushawishi pambano dhidi ya Wilder liwekwe pembeni kwanza apiga e na Joshua, bingwa wa mataji ya WBA, WBO na IBF.
Tyson Fury anataka zaidi pambano la kuunganisha mataji dhidi ya Anthony Joshua kuliko kupigana tena na Deontay Wilder PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Waingereza hao wote tayari wana ratiba ya mapambano yajayo - Fury dhidi ya Wilder na Joshua dhidi ya Kubrat Pulev Uwanja wa Tottenham Hotspur.
Pambano kati ya Joshua na Pulev lilipangwa kufanyika Juni 20 Kaskazini mwa London na sasa limesogezwa mbele hadi Julai 25 kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona duniani kote.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/39K3A9x
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang FURY AMTAKA JOSHUA KABLA YA KURUDIANA TENA NA WILDER. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/04/fury-amtaka-joshua-kabla-ya-kurudiana.html. Terimakasih atas perhatiannya.