CHAMA cha Soka Misri (EFA) kimethibitisha kifo cha kocha wa makipa Mohamed Abdo, aliyefariki dunia Mei 11 kwa ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Abdo aliyekuwa ana umri wa miaka 59, ambaye alikuwa kocha wa makipa wa klabu ya FC Badr ya Daraja la Tatu, alipimwa na kukuta ugonjwa wa COVID-19 na alikuwa akipatiwa matibabu Kafr El-Dawar, kiais cha kilomita 180 kutoka Jiji la Cairo.
“Familia ya soka Misri imesikitishwa na habari za kifo hicho. Tunawapa pole familia yake. Wawe na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu,”, imesema taarifa ya EFA.
Shughuli za soka zimesimamshwa Misri tangu katikati ya Machi kutokana na janga hilo la maambukizi ya virusi vya corona, huku watu takriban 13,500 wameripotiwa kupatwa na virusi hivyo hadi jana.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Xd7u6l
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KOCHA WA MAKIPA MISRI AFARIKI KWA UGONJWA WA COVID 19. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/05/kocha-wa-makipa-misri-afariki-kwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.