• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ▼  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ▼  Mei (244)
      • Lucky Numbers World Tour Promotion: FAFI Draw 5/36
      • YANGA SC WALIVYOSAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA KA...
      • Yeye: Chiefs shouldn't be crowned PSL champions
      • Neil Morrice: International Racing - Monday 01 Jun...
      • International Racing: Deauville – Monday 01 June 2020
      • International Racing: Dubbo – Monday 01 June 2020
      • International Racing: Northam – Monday 01 June 2020
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • NYOTA WA SIMBA 1992, BAKARI IDDI, MAGOSO NA MAREHE...
      • International Racing: Toowoomba – Sunday 31 May 2020
      • International Racing: Pinjarra Park - Sunday 31 Ma...
      • International Racing: Sha Tin Turf – Sunday 31st M...
      • BEKI MKONGWE, SALUM KANONI KUPELA AKIWAONGOZA WACH...
      • MBWANA SAMATTA AFICHUA; “UMALIZIAJI AU KULENGA SHA...
      • Anthony Delpech - Sha Tin Preview - Sunday 31st Ma...
      • NI MZIGO MZITO CHRISTIAN BELLA ANABEBESHWA, AACHWE...
      • Neil Morrice: International Racing - Sunday 31 May...
      • Hollywoodbets Back On Track Challenge 2020
      • Back On Track Challenge - Grooms - Terms and Condi...
      • Back On Track Challenge - Apprentices - Terms and ...
      • Back On Track Challenge - Racehorses - Terms and C...
      • Back On Track Challenge - Jockeys - Terms and Cond...
      • Back On Track Challenge - Trainers - Terms and Con...
      • German Bundesliga: GW 29 Preview
      • MAMBO YA KUZINGATIA MICHEZONI WAKATI WA MAAMBUKIZI...
      • SIMBA NA YANGA ZINAWEZA KUKUTANA TENA NUSU FAINALI...
      • MECHI ZOTE ZILIZOSALIA ZA LIGI KUU TANZANIA BARA K...
      • NRL: Round 3 Friday and Saturday Preview
      • Mungroo looking to kick on
      • NRL: Brisbane Broncos v Parramatta Eels Preview
      • JEZI MPYA ZA MSIMU UJAO ZA MANCHESTER UNITED ZIMEV...
      • MAFUNDI JONAS MKUDE, DEO KANDA NA NYOA WENGINE MAZ...
      • KAPTENI PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ALIVYOWAONGOZA WAC...
      • AZAM FC WALIVYOREJEA MAZOEZINI JANA CHAMAZI KUJIAN...
      • Would two T20 World Cups in 2021 be overkill
      • International Racing: Thursday 28 May 2020 – Belmo...
      • International Racing: Lyon-Parilly – Thursday 28 M...
      • International Racing: Clairefontaine – Thursday 28...
      • International Racing: Gosford - Thursday 28 May 2020
      • International Racing: Ballarat - Thursday 28 May 2020
      • Neil Morrice: International Racing - Thursday 28 M...
      • International Racing: Cairns - Thursday 28 May 2020
      • South Korean K1 League GW4 Preview
      • BARCELONA YATUMIA JANGA LA CORONA KUJIONGEZEA PATO...
      • WACHEZAJI WA SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO MBALIMBALI ...
      • WACHEZAJI YANGA SC WALIPOPIMWA CORONA JANA TAYARI ...
      • KOCHA MRUNDI KUANZA KUINOA AZAM FC KUJIANDAA KUMAL...
      • BAYERN MUNICH YAICHAPA BORUSSIA DORTMUND 1-0 NA KU...
      • PAMOJA NA KUREJEA, CRISTIANO RONALDO AFANYA MAZOEZ...
      • BAO AMBALO SAMATTA ALIWAFUNGA LIVERPOOL UWANJA WA ...
      • MKALI WA MABAO, MEDDIE KAGERE AWASILI DAR TAYARI K...
      • CHINA: MWALUSAKO ALINIPIGANIA NIPANGWE YANGA NIKIW...
      • This Week's Lucky Numbers
      • Belarusian Premier League GW11 Preview
      • German Bundesliga Preview: GW 28
      • MCHEZAJI NA KIONGOZI WA ZAMANI WA YANGA SC AFARIKI...
      • International Racing: Lyon Parilly – Monday 25 May...
      • WLADIMIR KLITSCHKO AMTEMBELEA MAZOEZINI EVANDER AK...
      • JANGA LA CORONA LIMETUPA ELIMU GANI KWENYE MCHEZO ...
      • BAYERN MUNICH YAICHAPA FRANKFURT 5-2 NA KUENDELEA ...
      • YANGA SC ILIPOICHAPA SIMBA 1-0 1992 BAO PEKEE LA K...
      • SIMBA SC KUANZA MAZOEZI YA PAMOJA JUMATANO KUJIAND...
      • 'CAPTAIN DIEGO', MBWANA ALLY SAMATTA ALIVYOREJEA M...
      • UNAKATAAJE TWANGA PEPETA KUJIITA KISIMA CHA BURUDANI?
      • KIPA HODARI WA YANGA SC, METACHA BONIPHACE MNATA A...
      • HARUNA NIYONZIMA WA YANGA, AKIWA MAZOEZINI NA BEKI...
      • MECHI ZOTE ZILIZOSALIA ZA LIGI KUU TANZANIA BARA N...
      • International Racing: Saturday 23 May 2020 – Darwin
      • International Racing: Bordeaux – Saturday 23 May 2020
      • International Racing: Belmont - Saturday 23 May 2020
      • International Racing: Flemington - Saturday 23 May...
      • International Racing: Royal Randwick - Saturday 23...
      • Neil Morrice: International Racing - Saturday 23 M...
      • International Racing: Saturday 23 May 2020 – Murra...
      • International Racing: Angers – Saturday 23 May 2020
      • Super Rugby Aotearoa: Teams Preview
      • Loyal du Toit an asset to SA rugby
      • RAIS MAGUFULI LIGI KUU TANZANIA BARA NA MICHEZO YO...
      • Evolution and Ezugi Live Games Guide
      • Belarusian Premier League: GW10 Preview
      • South Korean K1 League: GW3 Preview
      • International Racing: Thursday 21 May 2020 – Belmo...
      • TRENT ALEXANDER-ARNOLD MAZOEZINI NA WENZAKE LIVERP...
      • DK MSHINDO MSOLLA AZINDUA KAMPENI YA KUELEKEA KWEN...
      • KOCHA WA MAKIPA MISRI AFARIKI KWA UGONJWA WA COVID 19
      • Neil Morrice: International Racing - Thursday 21 M...
      • German Bundesliga Preview: GW 27
      • International Racing: Hawkesbury - Thursday 21 May...
      • International Racing: Longchamp - Thursday 21 May ...
      • 'Bloemfontein Celtic not for sale'
      • Should the IPL be the tournament to lead cricket's...
      • KIUNGO FUNDI, SALUM ABUBAKAR 'SURE BOY' AKIFANYA M...
      • This Week's Lucky Numbers
      • Premier League clubs approve plans to resume group...
      • Rugby News: Monday 18 May
      • International Racing: Tuesday 19 May 2020 – Rockha...
      • HAPA SI YULE IBRA CADABRA WA SIMBA SC, NI AL USTAD...
      • AWAMU YA PILI YA UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPL...
      • Neil Morrice: International Racing - Tuesday 19 Ma...
      • KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAKABIDHI TANZANIA ...
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » UNAKATAAJE TWANGA PEPETA KUJIITA KISIMA CHA BURUDANI?

UNAKATAAJE TWANGA PEPETA KUJIITA KISIMA CHA BURUDANI?

Na Said Mdoe, DAR ES SALAAM
KUNA bendi za dansi zimejaaliwa hazina ya nyimbo pendwa, unasikiliza zaidi ya nyimbo kumi na vidole vyako havikushawishi kusogeza mbele hata wimbo mmoja.
Sitaki kuzungumzia Msondo na Sikinde ambazo unapokuja kwenye suala la nyimbo pendwa ni lazima usalimu amri kwao, ziko kwenye sayari peke yao. Hapa naizungumzia African Stars Band "Twanga Pepeta" ambayo tangu izindue albam yake ya kwanza mwaka 1999, imekuwa mbabe mpya wa muziki wa dansi hapa nchini.
Sitaigusa  African Stars Band ile iliyoasisiwa na marehemu Mafumu Bilal mwaka 1994, bali andiko langu litaegemea zaidi kuanzia mwaka 1998 baada ya bendi hiyo kufanya mageuzi kwenye muziki wake na kuanza kuutumia mtindo wa Twanga Pepeta.
Mwaka huo wa 1998 wakati bendi hiyo ikiwa inapiga bila kiingilio kwa nguvu za mashabiki wao au kwa kusaidiwa na mikataba ya baadhi ya makampuni, ndipo ikatokea nafasi adimu kwao na wakaitumia vizuri.
Tukio hilo lilitokea mwenzi Disemba, Twanga Pepeta wakaalikwa kusindikiza uzinduzi wa albam ya bendi pendwa kwa wakati huo, Diamond Sound. Ilikuwa hatari kila aliyekuwepo ndani ya ukumbi wa Silent Inn Mwenge alistaajabu kwa namna The African Stars walivyoshambulia jukwaa na huo ndio ukawa mwanzo wa mafanikio ya bendi hiyo, watu wakaanza kumiminika wanapotumbuiza, wimbo wao wa “Kisa cha Mpemba” ukatawala vituo vya radio.
Kama zilivyo Msondo Ngoma na Sikinde, Twanga Pepeta ilikumbana na mitihani mikubwa ya mara kwa mara ambayo kama si uimara, utulivu na uzoefu wa wamiliki basi ingeweza kabisa kuisababishia anguko kuu bendi hiyo.
Wakati Twanga Pepeta ikianza kustawi kwenye soko la ushindani wa muziki wa dansi mwaka 2000 ikapata pigo la kuondokewa na msanii wake tegemeo, Banza Stone aliyehamia TOT.
Ilikuwa ni pigo kubwa kwa Twanga hasa kutoka na ukweli kuwa aidha kwa kukusudia au kwa bahati mbaya, bendi hiyo ilijikuta ikimkuza Banza Stone na kumfanya alama yao kubwa na hivyo walilazimika kutumia njia hiyo hiyo kwa Ally Chocky ili kufunika maumivu ya kuondoka kwa Banza. 
Pengo la Banza likazibwa, Ally Chocky akawa nyota mpya wa bendi akitakata vizuri katika albam ya “Jirani” ikiwa ni ya pili baada ya “Kisa Cha Mpemba” ya mwaka 1999 ambayo ndiyo iliyopambwa vilivyo na makali ya Banza Stone.
Ndani ya mwaka huo huo wa 2000 Twanga Pepeta ikapata msukosuko mwingine mkubwa wa kuondokewa na wasanii tegemeo akiwemo kiongozi wa bendi Adolph Mbinga na mwimbaji Rogart Hegga ambao walikwenda kuasisi bendi mpya ya Mchinga Sound.
Pigo hili nalo lilipita salama huku ujio wa albam yao ya tatu “Fainali Uzeeni” ya mwaka 2001 ukiandika historia na kuleta mapinduzi mapya ya muziki wa dansi. Albam hii ikawa ndiyo ya kwanza kwenda kuzinduliwa na bendi zetu ndani ya ukumbi mkubwa na wa gharama, Diamond Jubilee ambao kabla ya hapo ulikuwa ukitumika zaidi kwa maonyesho ya wasanii wakubwa wa kimataifa.
Mwaka 2002 Twanga Pepeta wakaibuka na albam ya nne “Chuki Binafsi” ambayo nayo ilikuwa moto wa kuotea mbali kabla ya mwaka uliofuata, 2003 kuachia albam ya tano “Ukubwa Jiwe” iliyokuwa na nyimbo zinazotamba hadi leo kama “Walimwengu” na “Aminata”.
Baada ya hapo, Twanga Pepeta ikiwa kwenye kilele cha mafanikio, ikapata pigo lingine, safari hii ikiwa ni kuondokewa na Ally Chocky ambaye alishajijengea himaya kubwa ndani ya bendi hiyo, akaenda kuanzisha bendi yake ya Extra Bongo huku akizoa baadhi mashabiki wa Twanga. 
Ulikuwa mtihani mzito sana. Kuelekea maandalizi ya albam mpya, bendi ikatoa nyimbo mbili “Family Conflict” na “African Unity” bila kuwa na ‘staa’ wa ujazo wa Chocky au Banza, wimbo mmoja ukapokewa vizuri, huku mwingine ukichukuliwa kama msindikizaji.
Lakini miezi michache baadae bendi ikaimarika tena hasa pale aliporejeshwa Banza Stone na kuibuka na wimbo wa “Mtu Pesa” uliokwenda kubeba jina la albam yao ya sita  iliyozinduliwa mwaka 2004, mwaka uliofuata wakaachia albam ya “Safari 2005”.
Mwaka 2006 wakati kipaji cha Banza Stone kikianza kugubikwa na makandokando mengi ikiwemo migogoro ya hapa na pale ya kiafya huku Ally Chocky aking’ara sana na bendi ya Mchinga Generation, Twanga Pepeta wakachukua hatua iliyoleta mpasuko mkubwa na kupelekea kuzaliwa kwa kundi jipya la Twanga Chipolopolo lililomilikiwa na Aset kama ilivyo The African Stars.
Ni kwamba Twanga Pepeta waliamua kumruidisha kundini Ally Chocky.  Baadhi ya wasanii wa bendi hiyo wakiwemo Banza Stone, Msafiri Diouf na Victor Nkambi hawakuridhika na hatua hiyo na wakaamua kusuka kundi jipya la Twanga Chipolopolo  ambalo kiasili lilitokana na bendi ya The African Revolotion iliyopitia mitindo kama Chumvi Chumvi, Tam Tam na Diko Diko.
Majanga hayo hayakuiyumbisha Twanga Pepeta bali yalizidi kuikomaza bendi na licha ya kupata upinzani mkali kutoka kwa ndugu zao wa Chipolopolo, bado iliweza kuibuka na albam kali iliyokwenda kwa jina la “Password”. Mwaka 2007 wakaachia albam ya “Mtaa wa Kwanza” kabla Ally Chocky hajatimkia TOT miezi kadhaa baadae.
Kutoka hapo Twanga Pepeta ikaamua kusuka bendi bila kutegemea nyota ya mtu mmoja hali iliyopelekea mwaka 2008 kupita bila kushuhudia albam mpya kutoka kwa bendi hiyo, ikiwa ni mara ya kwanza kupitisha mwaka bila albam tangu walivyoanza kufanya hivyo mwaka 1999.
Ndipo mwaka mwaka 2009 walipoibuka na albam ya “Mwana Dar es Salaam” huku waimbaji wake wengi kama Luizer Mbutu, Chaz Baba, Khalid Chokoraa, Kalala Jr, Rogart Hegga, Saleh Kupaza na Dogo Rama wote wakihakikisha hakuna mtawala kati yao, walifanya kazi kama timu sambamba na marapa Msafiri Diouf na Ferguson. Hivi ndivyo Twanga ilivyo hadi sasa, hata pale walipowahi kuwarudisha kundini watu kama Mwinjuma 
Baada ya hapo zikafuata albam nyingine tatu “Dunia Daraja” (mwaka 2011), “Nyumbani ni Nyumbani” ya mwaka 2013 na “Usiyaogope Maisha” iliyozinduliwa jijini Mwanza mwaka 2016.
Miongoni mwa mitihani mikubwa iliyoikumba Twanga Pepeta kati ya mwaka 2010 hadi 2015  ni ya kuondokewa na wasanii nyota katika vipindi tofauti ambapo wengine walienda kuanzisha bendi ya Mapacha Watatu, baadhi walinyakuliwa na Mashujaa Band bila kusahau Extra Bongo, Ruvu Stars Band na Double M Plus. 
Twanga Pepeta ambayo imekuwa kimbilio la wasanii wengi wa dansi la kizazi kipya, imefanikiwa kufanya maonyesho yake barani Ulaya katika nchi za Uingereza, Uholanzi, Finland na Norway. Mwinyuma Muumini "Kocha wa Dunia" naye amewahi kuitumikia bendi hii katika vipindi vitatu tofauti.
Kuanzia mwaka 1999 Twanga Pepeta inayojulikana kama Kisima cha Burudani, ndiyo bendi iliyotoa albam nyingi kuliko bendi nyingine yoyote ile ndani ya Tanzania. Ndiyo bendi yenye nyimbo nyingi kuliko yoyote ile katika kipindi cha miaka 21 iliyopita. Albam 13 na nyimbo zaidi ya 80.
Kuanzia mwaka 1999 Twanga Pepeta ndiyo bendi  iliyosababisha kuzaliwa kwa bendi nyingi kutoka ubavuni kwake, lakini pia Twanga ndiyo bendi iliyodhohofisha bendi nyingi pale ilipokuwa ikipenyeza nguvu yake kwenye usajili na kunyakua wasanii muhimu.
Katika kipindi fulani kilichodumu kwa zaidi ya miaka mitatu, Twanga Pepeta ndiyo bendi pekee iliyoweza kufanya maonyesho mawili kwa siku moja kwenye kumbi mbili tofauti na watu wakafurika. Ilifanya hiyo kila Jumapili ambapo jioni  ilikuwa Leaders Club Kinondoni na usiku goma likahamia TCC Club Chang'ombe.
Hii ni moja ya bendi chache sana zenye mtaji mkubwa wa  rasilimali watu,  mashabiki wenye uwezo wa kujitoa kwa hali na mali ili kupigania ustawi wa bendi. Takwimu zisizo rasmi zinaonyesha pia kuwa hii ndio bendi iliyofanya maonyesho mengi zaidi ndani ya miaka 20 iliyopita.
Wakati Twanga Pepeta ikiwa mbioni kuachia albam yao ya 14 tangu kuanzishwa kwake, nadiriki kusema sioni dhambi yoyote kwa bendi hii hata kama ingejiita Bahari ya Burudani, achilia mbali Kisima cha Burudani.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2LR9U5r best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang UNAKATAAJE TWANGA PEPETA KUJIITA KISIMA CHA BURUDANI?. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/05/unakataaje-twanga-pepeta-kujiita-kisima.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 00.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
    Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on Thursday 29th of September 2016. Comments, images and betting and are pro...
Copyright Viral Sports: UNAKATAAJE TWANGA PEPETA KUJIITA KISIMA CHA BURUDANI?