KOCHA Mfaransa, Sebastien Migne ametangaza kujiondoa timu ya taifa ya Equatorial Guinea kwa makubaliano na uongozi.
Migne alijiunga na Nzalang Nacional, yaani Ngurumo ya Taifa jina la utani la timu ya taifa ya Equatorial Guinea Novemba mwaka jana na kuiongoza kwenye mechi mbili za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon.
“Huu ni mwisho, na janga la COVID-19 limefanya hali yangu kuwa mbaya. Familia yangu kwa sasa imekwama Kenya na sijaiona kwa miezi kadhaa. Kipaumbele changu ni wao. Kwa sasa nipo Ufaransa na hatujui lini mipaka itafunguliwa tena,” amesema Migne.
“Ni mkanganyiko kubaki kazini bila mashindano na pia kwa Shirikisho la Soka Afrika kumlipa kocha wa kigeni bila kufanya chochote. Kitu kizuri kilikuwa ni kusitisha mkataba kwa makubaliano tuliyosaini,”aliongeza Migne.
Baada ya kupoteza mechi mbili za kufuzu AFCON ya 2021, Ngurumo ya Taifa wamejiweka kwenye nafasi finyu ya kukata tiketi ya Cameroon mwakani, ingawa Migne bado ana matumaini.
“Kufuzu Cameroon 2021, Equatorial Guinea lazima washinde mechi za nyumbani na ugenini dhidi ya Libya. Lazima wajaribu kupata angalau pointi nne kama si zote sita. Baada ya hapo watacheza na Tanzania nyumbani wakiwa kwenye nafasi nzuri tena"alisema Migne.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/37EzrsR
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms