Na Mwandishi Wetu, DARES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba ya Dar es Salaam, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Machi msimu wa 2019/2020.
Mshambuliaji huyo kutoka Rwanda, Kagere alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake Paul Nonga wa Lipuli FC ya Iringa na Never Tigere wa Azam FC ya Dar es Salaam pia alioingia nao fainali.
Kwa upande wake, kocha wa KMC ya Dar es Salaam, Hererimana Haruna amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020.
Hererimana alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake Sven Vandenbroeck wa Simba na Khalid Adam wa Mwadui FC alioingia nao fainali.
Naye Mshambuliaji wa Simba ya Dar es Salaam, John Raphael Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Juni wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020.
Bocco alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake Atupele Green wa Biashara United na Martin Kiggi wa Alliance FC alioingia nao fainali.
Naye kocha wa Alliance ya Mwanza, Kessy Mziray amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Juni wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/2020.
Mziray alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda Webelgiji Sven Vandenbroeck wa Simba na Luc Eymael wa Yanga SC alioingia nao fainali.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3gZ3vTn
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms