Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Azam FC imekamilidha usajili wa kipa wa kimataifa wa Tanzania, David Mapigano Kissu aliyesaini mkataba wa miaka miwili kutoka Gor Mahia ya Kenya.
Kissu ambaye yumo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, usajili wake ni sehemu ya mapendekezo ya benchi la ufundi la Azam FC.
Kipa huyo aliyechezea timu za Njombe Mji na Singida United, kabla ya kutimkia nchini Kenya, amekuwa na msimu nzuri akiwa na Gor Mahia, takwimu zikionyesha amecheza jumla ya mechi 15, huku akiwa hajaruhusu wavu wake kuguswa (clean sheet) katika mechi tisa kati ya hizo.
Nyota huyo aliyekuwa kipa namba moja wa Gor Mahia, pia aliweka rekodi ya kufunga bao, akifunga kwa mpira mrefu wa moja kwa moja, wakati Gor Mahia ikiilaza Bandari mabao 3-0.
Huo ni usajili wa tano kwenye kikosi cha Azam FC kwa ajili ya msimu ujao, wengine waliosajiliwa wakiwa ni viungo watupu Awesu Awesu kutoka Kagera Sugar ya Bukoba, Ayoub Lyanga kutoka Coastal Unon ya Tanga, Ismail Aziz Kada kutoka Tanzania Prisons ya Mbeya na Ally Niyonzima kutoka Rayon Sport ya kwao, Rwanda.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/30ALndc
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms