GWIJI wa Cameroon, Stephen Tataw amefariki dunia jana Julai 31, 2020 Jijini Yaounde baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Shirikisho la Soka Cameroon (FECAFOOT) limethibitisha kifo cha Tataw aliyeaga dunia akiwa ana umri wa miaka 57.
Stephen Tataw anayeheshimika kama mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya soka ya Cameroon, hadi kifo chake alikuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa FECAFOOT.
Moja ya matukio yake ya mwisho kuonekana hadharani ilikuwa ni kwenye upangwaji wa ratiba ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) Cameroon 2020 iliyofanyika Februari 17, mwaka huu Jijini Yaounde, ambako alikuwa akimsaida gwiji mwenzake, Salomon Olembe kuendesha droo hiyo.
Tataw alikuwa Nahodha wa kikosi maarufu cha Cameroon miaka ya 1990, ‘Class of 1990’ ambacho kilipamba vichwa vya habari wakati wa Fainali za Kombe la Dunia 1990 nchini Italia baada ya kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Afrika kufika Robo Fainali ya michuano hiyo.
Beki huyo wa kulia pia alikuwa Nahodha wa Simba Wasiofungika kwenye Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994 nchini Marekani.
Mafanikio yake makubwa ni kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 1988 nchini Morocco.
Tataw alianzia kwenye klabu za Tonnere Yaounde na Olympic Mvolye za nyumbani kwao kabla ya kujiunga na Tosu Future mwaka 1995, akiweka rekodi ya kuwa Mwafrika wa kwanza kucheza soka ya kulipwa Japan.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2XjLpnB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms