PAMBANO la bingwa wa zamani wa ngumi uzito wa juu, Mike Tyson dhidi ya Roy Jones Jr. limesogezwa mbele hadi Novemba 28.
Tyson mwenye umri wa miaka 54, ambaye alitawala ndondi za uzito wa juu kwa takriban miaka 20 ybaada ya kutwaa taji la dunia mwaka 1987, alitarajiwa kupigana na mpinzani wa umri wa miaka 51- Jones katika pambano la Raundi la Nane Jijini California Septemba 12.
Gwiji huyo na bingwa wa dunia asiyepingika wa uzito wa juu enzi hizo, Tyson atarejea ulingoni baada ya miaka 15 tangu astaafu.
Pambano la Mike Tyson dhidi ya Roy Jones Jr. limesogezwa mbele hadi Novemba 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jones alipigana kwa mara ya mwisho mwaka 2018 wakati Tyson mara ya mwisho alipanda ulingoni miaka 15 iliyopita alipopigwa na Kevin McBride.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2PLgwnR
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PAMBANO LA MIKE TYSON NA ROY JONES JR. LASOGEZWA MBELE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/08/pambano-la-mike-tyson-na-roy-jones-jr.html. Terimakasih atas perhatiannya.