Na Mwandishi Wetu, DODOMA
WADHAMINI wakuu wa mabingwa wa Kihistoria Tanzania, Kampuni ya SportPesa wametoa msaada wa mipira na vifaa vya Michezo kwa shule jijini Dodoma ikiwa ni mkakati wa kusaidia kukuza mchezo wa soka kwa vijana.
"Mchezo wa soka ni ajira, sisi SportPesa tunaamini kwamba tukisadia vijana kukuza vipaji vyao tangu wakiwa chini tutatengeneza msingi na njia bora ya ajira yenye tija katika soka kwa vijana wetu hapo baadae," amesema Abbas Tarimba, Mkurugenzi wa Udhibiti na Uendeshaji wa Sportpesa Tanzania.
Amesema kwa kupitia tukio la Uzinduzi wa Sportpesa Wiki ya Mwananchi, la klabu ya Yanga leo Kampuni hiyo itashirikiana vyema na Klabu kuhakikisha mchezo wa soka unaendelea kutengeneza mazingira bora ya ajira ya ndani na nje ya uwanja kwa wananchi.
"SportPesa tutaendelea kurudisha sehemu ya faida tunayopata kwa jamii, kusaidia maendeleo yake katika nyanja mbalimbali, ikiwamo kwenye mchezo wenyewe wa mpira wa miguu," amesema.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/31hdaQ6
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms