Mshambuliaji Mholanzi Justin Kluivert (kulia) akishangilia baada ya kuwafungia RB Leipzig bao la tatu dakika ya 69 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Red Bull Arena, Leipzig. Mabao mengine ya RB Leipzig yalifungwa na Angelino dakika ya pili na Amadou Haidara dakika ya 13, wakati ya Manchester United yalifungwa na Bruno Fernandes dakika ya 80 kwa penalti na Ibrahima Konate aliyejifunga dakika ya 82 baada ya kazi nzuri ya Paul Pogba. Kwa matokeo hayo, Man United wanatolewa Ligi ya Mabingwa na kuhamia Europa League, wakati RB Leipzig inasonga mbele pamoja na PSG PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3mZ8Flv
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms