Cristiano Ronaldo wa Juventusn(kushoto) na Lionel Messi wa Barcelona (kulia) wakizungumza wakati wa mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Juventus ilishinda 3-0, Ronaldo akifunga mabao mawili yote kwa penalti dakika ya 13 na 52 na kufikisha jumla ya mabao 134 kwenye michuano hiyo, wakati bao lingine lilifungwa na Weston McKennie dakika ya 20, huku kipa mkongwe wa umri wa miaka 42, Gianluigi Buffon akijizlea sifa kwa kuokoa michomo mingi ya hatari ya Messi. Timu hizo zote zimemaliza na pointi 15 kila moja na kutinga pamoja 16 Bora, Juve wakiwa juu ya Barcelona kutokana na ushindi wao wa jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Lop713
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms