MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu jana amefunga bao la kwanza dakika ya 14, TP Mazembe ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Bouenguidi FC ya Liberia katika mchezo wa marudiano Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa TP Mazembe Jijini Lubumbashi.
Bao la pili la Mazembe lilifungwa Mzambia Tandi Mwape dakika ya 45, wakati bao pekee la Bouenguidi FC lilifungwa na Djoe Dayan Boussougou dakika ya 79 na sasa wanakwenda hatua ya makundi ya michuano hiyo. Mechi ya kwanza pia Ulimwengu alifunga mabao mawili Jijini Libreville, Mazembe wakishinda 2-1 pia.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3ozRQi9
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms